Daah enzi hizo inaelekea mapenzi ya malengo yalikuwa yanaumiza zaidi...makabila mengi yalilazimisha mtu kuoa binti wa kabila lao tena wanakuchagulia.Nilisha kutana na kaka mmoja hivi kitamboo huko nyuma malavi davi yalikuwa 120/140 ilikuwa mbinguni duniani maana tulipeana raha zote za dunia hii. Mkaka alipagawa na paja la kinyamwezi sio tuu alinipa password ya atm pia alinimilikisha ardhi na moto kaa zake kadhaa..... bahati mbaya ilikuwa ni enzi ya kuoa mtu wa kabila la kwao hapo ndo tulipoachana maana sikuweza kuhimili kuwa nyumba ndogo wakati bado ni mschana.
Hata hivyo mada nzuri inakutia.
Ndooouurooobooouw wewe yaani maneno yoote hayo umeona hilo tuu.Kheeee!
Mada 'inakutia'?
Iliniathiri sana kwakweli sikutamani kupenda tena maana nilihofu nawezakutana na mkabila mwingine...... tangu siku hiyo Kasie ni mseja.Daah enzi hizo inaelekea mapenzi ya malengo yalikuwa yanaumiza zaidi...makabila mengi yalilazimisha mtu kuoa binti wa kabila lao tena wanakuchagulia.
Duuh,pole sana...ila if ua happy n comfortable with ua current style then Hongera. Ila sikuhizi nafuu issues kama hizo hakuna tena,naoa yeyote aliyetoka kokote as long as I hv love to her.Iliniathiri sana kwakweli sikutamani kupenda tena maana nilihofu nawezakutana na mkabila mwingine...... tangu siku hiyo Kasie ni mseja.
Ndooouurooobooouw wewe yaani maneno yoote hayo umeona hilo tuu.
Halafu uwe unavaa miwani yako ukisoma kiswahili .... kasome tena hahahahaa sikusema inani. .... nilisema inaku. .....
aiseeeNilisha kutana na kaka mmoja hivi kitamboo huko nyuma malavi davi yalikuwa 120/140 ilikuwa mbinguni duniani maana tulipeana raha zote za dunia hii. Mkaka alipagawa na paja la kinyamwezi sio tuu alinipa password ya atm pia alinimilikisha ardhi na moto kaa zake kadhaa..... bahati mbaya ilikuwa ni enzi ya kuoa mtu wa kabila la kwao hapo ndo tulipoachana maana sikuweza kuhimili kuwa nyumba ndogo wakati bado ni mschana.
Hata hivyo mada nzuri inakutia.
Siku hizi mna raha sio tuu kupenda na kumuoa binti au kuolewa na kijana wa kabila lolote bila kujali idhini ya wazazi, siku hizi vijana wanazaa ndo wanapelekana kwa wazazi watoe mahari na kuoana.Duuh,pole sana...ila if ua happy n comfortable with ua current style then Hongera. Ila sikuhizi nafuu issues kama hizo hakuna tena,naoa yeyote aliyetoka kokote as long as I hv love to her.
Kheee we bibi vipi....
Mimi sijasema kuwa wewe umesema 'mada inakutia'.
Nimeuliza tu "Mada 'inakutia'?"
Kuuliza si kusema.
Au hukujifunza hilo
Duuuuhh,Balaa linalotufunza vijana.Siku hizi mna raha sio tuu kupenda na kumuoa binti au kuolewa na kijana wa kabila lolote bila kujali idhini ya wazazi, siku hizi vijana wanazaa ndo wanapelekana kwa wazazi watoe mahari na kuoana.
Ishatokea mahali hii mwanaume alizaaga nje ya ndoa akatelekeza mtoto huku na huku mtoto wake wa ndoa na yule wa nje walikuja kukutana kazini mapenzi yakanoga inogile wakazaa mtoto ndo binti kustuka twende kwa mama unioe kijana kaenda kwa mama wakapata baraka issue ikawa wazazi wa mtoto wa kiume kuja kwa wazazi wa binti ilikuwa soo baba akaondoka bila kuaga. Mke wa ndoa mama wa kijana akabaki haelewi mashangazi waliokuwa wanajua wakaanza kulia ( kaka akizaa nje ya ndoa dada zake huwa wanajua). Mama wa binti akazimia maana siku zote alikuwa akamwambia binti yake baba yako alikutelekeza na alihangaika mama mwenyewe kumlea binti. Songombingo lake lilifika kwa mwenyekiti wa mtaa.
Bibi shangazi yako mie kikongwe bin ajuza. Usirudie tena kunishushia umri wangu hujui ni cheo hicho?
Halafu unajifanya mjanja hapa kuwa umenikamata lugha vilivyo eeeh ngoja nikuletee kiboko yako. Subiri uone senene lake.
Kasie.