Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Do you really love Nyani Ngabu?
Really? I mean, like seriously?
Hhahahahahahaaaaaaa haiwezekani.....................
Kwani nilisema nakupenda hapo juu? ni mimi au ntakuwa nilikuwa naota bana...........
Mie Kasie ntaanzaje kukupenda wewe babu mweye wachumba kibao akuuuuu
Mie staki bana hata sikupendi na kama nilisema hivo basi nilikosea nilifikiri nimeandika sikupendiiiiiiiii
Ukitaka nikupende ninanihii halafu unanihii halafu nami ntananihiii 😀😀😀😛
Silly me.....
Seriously I LO YO. .............(Said I love you but I lie.................)