Mke wangu nimemtimua leo

Mke wangu nimemtimua leo

Wanaume wa Dar mnalilia? mbona ninyi. Ni wasaliti wakubwa na tunawavumilia? acheni utoto. Umekaa ukamuonya?
Kama kzini tu na hakuna magonjwa aliyoleta namsihi akae naye amuonye akirudia tena achukue hatua
 
Ndiyo maana amekusaliti, Wanaume kama ninyi Wanawake huwa aidha wanawamwaga au wanakusaliti kama alivyokufanyia, kwa maana hakuheshimu, Mwanamke anapenda Mwanaume strong na siyo lege lege, sasa tabia uliyoonyesha ya kuleta hapa malalamiko ya Mke wako kumegwa, inaonyesha wewe ni lege lege na ndiyo maana alikudharau na kutembea nje!

Kwa kukusaidia tu jaribu kubadilika na uwe Mwanaume imara ili siku nyingine ukipata mwingine akuheshimu, tatua matatizo na siyo kulia lia, Mwanamke anashindwa kuona tofauti yako na yake na hatimaye kupoteza heshima kwako na kukumwaga!
ON TOP OF IT
Kaka miezi yote 7 unakukuruka hata kumpa mimba umeshindwa??? wacha akusaliti maana huenda alikuwa anakutafutia mtoto.Chunguza labda ndugu zako walishaanza longolongo kuhusu uzazi wake. Wanaume wote wanaochelewa kuwapiga mimba wake zao KUPIGIWA ni kama PAI(22/7)(3.14)
 
Miezi seven hata ka mimba hakuna? Utakuwa na matatizo wewe!

Hata mimi nilitaka kusema hivyo, hlf ina maana mana atakuwa mfariji wa kila kitu. Basi km ndio hivyo Mungu asingeumba na wanawake.
 
Ndoa haona utaalam wala mwanaume wa ukweli ndoa nikujubali yote. Wanawake wanaudhi sana ila imani itakulinda. Binafsi namuona mwanamke kama kiumbe hatari sana ktk ndoa na usipokuwa imara unaweza kufa kabla ya siku. Dharau
 
Kama ndani ya miezi saba ameanza kukusaliti huyo stakusaliti zaidi ukisema umrudie jaribu kuwa mvumilivu utulie utafute mke mwingine na umpe misinamo yako hata hivyo sio wanawake wote waliletwa ili waolewe nadhani wengine waliletwa kwaajili ya kuburudusha wanaume webye stress,madereva wanaokua na upweke wanapokua safari ndefu,waume za watu na vilevile vijana wanaobalehe kujifunzia kufanya mapenzi.Mwache aende na ukimrudia atabadili njia ya kukusaliti na hivyo wewe kuja kujuta hapo baadae.
 
Ni wanaume tu pekee watakuelewa hapa, wavulana hawatoelewa chcht
Movie na tamthilia zinawaaribu vijana... Na vile vi-story vya happy endings. Unataka kuoa, af unatafuta mpenzi. Badala utafute yule ambaye anaweza akawa wife, a mother to your children and a woman you can live with. Mapenzi ni km njaa, yanaisha. Kinachobaki ni maamuzi ya kuheshimu uhusiano.
 
Mkuu ucje ukaw kama jamaa mmoja wa songea tulisikia kafukuz mke na anakula urod kwa mama yake. Unaposema umehamishia mapenz kwa mama na atakufarij napata mashak kidogo. Kwan mama anabak kama mama na make anabaki kuwa mke. Kila mmoja ana nafas yake lakin sio kiivo
 
Kumfundisha kutumia vitu mbalimbali, kupanda ndege na blah blah zingine ndiyo utimue mke?

Katunge tena story inayoendana na ukweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom