mizarb
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,402
- 1,290
Biashara matangazo mkuuHapa km sijaelewa pia mkuu..
Hmmmm,hii dunia'
Biashara matangazo mkuuHapa km sijaelewa pia mkuu..
Hmmmm,hii dunia'
Pumbavu sana we kijana!Poleeeeee achana na wanawake pita kwa kina ss hutojutaaa
Mkuu naona upo makini kujishindia mke mwema atokae kwa bwanaNi pm namba yake mkuu nami nijipatie jiko maana tunaambiwa mke mwema anatoka kwa bwana
Imebidi nicheke tu hii.....Miezi seven hata ka mimba hakuna? Utakuwa na matatizo wewe!


Bora ulivyomuacha, inaelekea kavumilia mengi sana toka kwako!Mke wangu niliyekaa naye kwa muda wa miezi 7 kwenye ndoa sasa nimeamua kuachana naye moja kwa moja.
Nimemwambia aondoke kwangu baada ya kumpa uthibitisho wa kunisaliti na yeye kuukataa bahati nzuri sijazaa naye na Jana niliamua kuenda naye kufanya pregnant test baada ya kukuta hana mimba nimeamua kuachana naye.
Niligundua amenisaliti kwa kiwango cha hali ya juu, sasa baada ya kuthibitisha aliyekuwa anamdanganya na yeye ameoa yupo na mke nimeamua nimuache nione kama ataweza kuwaoa wote wawili.
Nilimwamini sana nilimpa kila kitu mpaka nikamfundisha kupanda ndege, kutumia baadhi ya vifaa vya ndani kwani alikuwa hana uelewa wa baadhi ya matumizi ya vifaa alivyokuta ndani kwangu.
Sina mapenzi tena na mwanamke wacha niamishie mapenzi yangu kwa mama yangu. Kwa sasa sitaki mwanamke wa aina yeyote niacheni nitulie nikichoka nitakuwa nikienda kwa mama yangu na ananifariji.
Timua tafuta nyingine , after all wapo wengi kwa sasa katika ratio ya one men six womens 1:6Safi sana uamuzi sahihi, wengine wanajiua.
Timua tu aende akaishi atakavyo.
Nachelea ku-Mkapa huyu jamaa asijesema ooh umenitusi...Mkuu kuna mambo mengine mama yako anakufariji vp?emvu acha mambo ya ajabu
VP we demu nini? Maaana ulichoongea hapa ni utumbo wa mbuzi na firigisi za kuku ambazo ni dili uswazi kwetu huku.point kama hz huwezi kutoa ukiwa masaki mlimani cty HV coz mapenzi ni nin?Ndiyo maana amekusaliti, Wanaume kama ninyi Wanawake huwa aidha wanawamwaga au wanakusaliti kama alivyokufanyia, kwa maana hakuheshimu, Mwanamke anapenda Mwanaume strong na siyo lege lege, sasa tabia uliyoonyesha ya kuleta hapa malalamiko ya Mke wako kumegwa, inaonyesha wewe ni lege lege na ndiyo maana alikudharau na kutembea nje!
Kwa kukusaidia tu jaribu kubadilika na uwe Mwanaume imara ili siku nyingine ukipata mwingine akuheshimu, tatua matatizo na siyo kulia lia, Mwanamke anashindwa kuona tofauti yako na yake na hatimaye kupoteza heshima kwako na kukumwaga!
Nachelea ku-Mkapa huyu jamaa asijesema ooh umenitusi...
Yaani umfanyie jambo mwanamke kisha uanze kumtangaza kisa, kakusaliti?
Ooh nahamishia mapenzi kwa mamaangu, halafu babaako akahamishie kwa nani??

mkaribishe CHAPUTAKwahiyo Nyeto itahusika