Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Si wote mke wake tu
Wote
Si wote mke wake tu
Mke wa mtu huyu ujue. Sio mama yako ni mke wa baba yako. Baba yako angemuacha ungekuwa unaenda kwa nani? Halafu kukusaliti maana yake nini? Kakukosesha deal la shiling ngapi? Isije ikawa kapiga friend match mbili ndoo unatoa unamuacha. Maana kuchapiwa ushaambiwa ni siri ya ndani? Embu funguka deal gani kaharibu huyo mkeo wa kurudiana nae kabla ya xmas?Mke wangu niliyekaa naye kwa muda wa miezi 7 kwenye ndoa sasa nimeamua kuachana naye moja kwa moja.
Nimemwambia aondoke kwangu baada ya kumpa uthibitisho wa kunisaliti na yeye kuukataa bahati nzuri sijazaa naye na Jana niliamua kuenda naye kufanya pregnant test baada ya kukuta hana mimba nimeamua kuachana naye.
Niligundua amenisaliti kwa kiwango cha hali ya juu, sasa baada ya kuthibitisha aliyekuwa anamdanganya na yeye ameoa yupo na mke nimeamua nimuache nione kama ataweza kuwaoa wote wawili.
Nilimwamini sana nilimpa kila kitu mpaka nikamfundisha kupanda ndege, kutumia baadhi ya vifaa vya ndani kwani alikuwa hana uelewa wa baadhi ya matumizi ya vifaa alivyokuta ndani kwangu.
Sina mapenzi tena na mwanamke wacha niamishie mapenzi yangu kwa mama yangu. Kwa sasa sitaki mwanamke wa aina yeyote niacheni nitulie nikichoka nitakuwa nikienda kwa mama yangu na ananifariji.
Atulie aandike vizuri basi, kwa hali hii Miss chagga utaingia tena kwenye ndoa kweli?Mwenzio ana hasira kugongewa inauma
Ok basi NDIWOMke wangu niliyekaa naye kwa muda wa miezi 7 kwenye ndoa sasa nimeamua kuachana naye moja kwa moja.
Nimemwambia aondoke kwangu baada ya kumpa uthibitisho wa kunisaliti na yeye kuukataa bahati nzuri sijazaa naye na Jana niliamua kuenda naye kufanya pregnant test baada ya kukuta hana mimba nimeamua kuachana naye.
Niligundua amenisaliti kwa kiwango cha hali ya juu, sasa baada ya kuthibitisha aliyekuwa anamdanganya na yeye ameoa yupo na mke nimeamua nimuache nione kama ataweza kuwaoa wote wawili.
Nilimwamini sana nilimpa kila kitu mpaka nikamfundisha kupanda ndege, kutumia baadhi ya vifaa vya ndani kwani alikuwa hana uelewa wa baadhi ya matumizi ya vifaa alivyokuta ndani kwangu.
Sina mapenzi tena na mwanamke wacha niamishie mapenzi yangu kwa mama yangu. Kwa sasa sitaki mwanamke wa aina yeyote niacheni nitulie nikichoka nitakuwa nikienda kwa mama yangu na ananifariji.
ha ha ha haaaaa uh jamani!nilikuwa cjacheka toka kumekuchaMAMA YAKO AKUFARIJI?
WEWE NI MCHAWI AMA?
riji ni namna ya kumtoa katika kilindi cha mawazo na kumjengea / kumpa picha ya amani mbeleni... na wala si kusex .... hilo neno linajitegemea kimaana hivo usiende mbali sana mkuu.Ushirikina huu sasa
Wewe Mama yako ndio akufariji sawa na Mke?
Laana inakuita,hata kama unatafuta kiki JF,jua unalaana Tayari
Mungu hajaribiwi wala hafanyiwi inda
We unafikiria kuoa ni kukurupuka tu,eeee,watu tuna 12 yrs kwenye ndoa,raha raha tu,
Na kama kumfundisha kupanda ndege na kutumia vitu vya ndani huo ni ushamba wako,na inaonyesha kwamba uelewa wako ni modgo saaana.
Kila mtu alifundishwa vitu hivyo hakuna aliezaliwa anavijua.
Ungeniambia kwamba Umemfundisha Dini na mafunzo ya Dini kama Mke,hapo ningesema kweli wewe ndio Mwanaume Bora na Mungu angekupa Baraka telee.
Ungemfundisha na kukataa mitongozonikamfundisha kupanda ndege, kutumia baadhi ya vifaa vya ndani kwani alikuwa hana uelewa wa baadhi ya matumizi ya vifaa alivyokuta ndani kwangu.
pole mkuu kuna kausemi kanasema GRASS IS ALWAYS GREENER ON THE OTHER SIDE. mwanamke alitamani kuwa sawa na Mungu akala tunda, atashindwa kutamani wanaume wengine na kuwapa papuchi? hawa viumbe wanalilia kuolewa sio kwasababu wanakupenda saana ila wanataka kujihakikishia maisha tu.
mshike mshike ndege tunduni, sie wajanja tumeshakimbia.
mkuu umetishaAmekusaliti vipi mkubwa, mwanamke wa kweli ni mama tu mzazi na sio wavaa mawigi hawa

wee njoo nikufariji wewe muache mama alishakuzaa inatosha
Sasa kama maamuzi umeshafanya na unadai tukuache, sasa hii post ya nini? 😀Mke wangu niliyekaa naye kwa muda wa miezi 7 kwenye ndoa sasa nimeamua kuachana naye moja kwa moja.
Nimemwambia aondoke kwangu baada ya kumpa uthibitisho wa kunisaliti na yeye kuukataa bahati nzuri sijazaa naye na Jana niliamua kuenda naye kufanya pregnant test baada ya kukuta hana mimba nimeamua kuachana naye.
Niligundua amenisaliti kwa kiwango cha hali ya juu, sasa baada ya kuthibitisha aliyekuwa anamdanganya na yeye ameoa yupo na mke nimeamua nimuache nione kama ataweza kuwaoa wote wawili.
Nilimwamini sana nilimpa kila kitu mpaka nikamfundisha kupanda ndege, kutumia baadhi ya vifaa vya ndani kwani alikuwa hana uelewa wa baadhi ya matumizi ya vifaa alivyokuta ndani kwangu.
Sina mapenzi tena na mwanamke wacha niamishie mapenzi yangu kwa mama yangu. Kwa sasa sitaki mwanamke wa aina yeyote niacheni nitulie nikichoka nitakuwa nikienda kwa mama yangu na ananifariji.
pole mkuu, ila hata siku moja usiseme Unahamishia mapenzi kwa MAMA,jua kua mama anayo nafasi yake ilikuwepo from day one na itabakia hapo mpaka mwisho wa uhai wako, na vile vile nahisi sasaivi unaongea kwa hasira sana ndio mana umepitiliza ila hakuna mwanamme asie kua na mwanamke as long as ni Rijali wa kisawasawa...Mke wangu niliyekaa naye kwa muda wa miezi 7 kwenye ndoa sasa nimeamua kuachana naye moja kwa moja.
Nimemwambia aondoke kwangu baada ya kumpa uthibitisho wa kunisaliti na yeye kuukataa bahati nzuri sijazaa naye na Jana niliamua kuenda naye kufanya pregnant test baada ya kukuta hana mimba nimeamua kuachana naye.
Niligundua amenisaliti kwa kiwango cha hali ya juu, sasa baada ya kuthibitisha aliyekuwa anamdanganya na yeye ameoa yupo na mke nimeamua nimuache nione kama ataweza kuwaoa wote wawili.
Nilimwamini sana nilimpa kila kitu mpaka nikamfundisha kupanda ndege, kutumia baadhi ya vifaa vya ndani kwani alikuwa hana uelewa wa baadhi ya matumizi ya vifaa alivyokuta ndani kwangu.
Sina mapenzi tena na mwanamke wacha niamishie mapenzi yangu kwa mama yangu. Kwa sasa sitaki mwanamke wa aina yeyote niacheni nitulie nikichoka nitakuwa nikienda kwa mama yangu na ananifariji.
KWA HASIRA HAUTATAKA MWANAMKE TENA LAKINI BAADAYE UTAHITAJI. ULITAKIWA UMPE KIPONDO CHA UHAKIKA ILI IWE KUMBUKUMBU KWAKE HUKO ATAKAKOENDA AKAWAONESHE NDUGU ZAKE NA HAWARA YAKE.Ndiyo maana amekusaliti, Wanaume kama ninyi Wanawake huwa aidha wanawamwaga au wanakusaliti kama alivyokufanyia, kwa maana hakuheshimu, Mwanamke anapenda Mwanaume strong na siyo lege lege, sasa tabia uliyoonyesha ya kuleta hapa malalamiko ya Mke wako kumegwa, inaonyesha wewe ni lege lege na ndiyo maana alikudharau na kutembea nje!
Kwa kukusaidia tu jaribu kubadilika na uwe Mwanaume imara ili siku nyingine ukipata mwingine akuheshimu, tatua matatizo na siyo kulia lia, Mwanamke anashindwa kuona tofauti yako na yake na hatimaye kupoteza heshima kwako na kukumwaga!