rais wako
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 605
- 514
Wew jamaa kumbe hua hunaga point namna hiiNdiyo maana amekusaliti, Wanaume kama ninyi Wanawake huwa aidha wanawamwaga au wanakusaliti kama alivyokufanyia, kwa maana hakuheshimu, Mwanamke anapenda Mwanaume strong na siyo lege lege, sasa tabia uliyoonyesha ya kuleta hapa malalamiko ya Mke wako kumegwa, inaonyesha wewe ni lege lege na ndiyo maana alikudharau na kutembea nje!
Kwa kukusaidia tu jaribu kubadilika na uwe Mwanaume imara ili siku nyingine ukipata mwingine akuheshimu, tatua matatizo na siyo kulia lia, Mwanamke anashindwa kuona tofauti yako na yake na hatimaye kupoteza heshima kwako na kukumwaga!
Unasema kaja hapa kulia lia kwan kakuomba ushauri nn cha kufanya
Mwanaume kakuletea maamuz aliyokwisha yafanya tayari Wapi alipo lia lia