Mke wangu, Nimekuchoka!

Wewe piga hadi wafike 10, kila mtoto anakuja na ridhiki yake.
Mimi ninao 12 na tunafuta kamoja ka mwisho.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸🏾Praise the Lord...
 
Hili ni kweli, Shule tunazo soma zina influence sana katika circle yetu, Perception kuhusu maisha.
Hudumia Mzee
 
Uhusiano haupo kabisa!
kama una hela somesha huko tengezza njia ya wanao.
sio usomeshe kutegemea connection
Uko academy Barcelona na mwingine yuko academy Namtumbo zote ni za mpira odd zitamuangukia nani ikiwa wote wana vipaji sawa, au umezaliwa Tanzania mwenzio Marekani nani likely kufanikiwa kiuchumi? Usibeze nurture ni 70% of who you are
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…