Mke wangu, Nimekuchoka!

Unajua mimi huwa nashangaa humu eti sijui mtoto kusoma wapi ndio apate connection.
Halafu kuna mijamaa haina shule kabisa lakini connection walizonazo ni balaa.
Acha kuwa na mawazo ya kizamani unadhani mtoto anayesoma IST, ISI,ISM au fedha school ambaye study tour anaenda Europe atafanana na yule ambaye study tour anaenda mikumi, isimila au bagamoyo
 
Unajua mimi huwa nashangaa humu eti sijui mtoto kusoma wapi ndio apate connection.
Halafu kuna mijamaa haina shule kabisa lakini connection walizonazo ni balaa.
Aina ya shule inaweza kuwa na mchango kwenye connection lakini sio mkubwa sana, na sio njia pekee.
JF hii hii watu wanapata connection, ni suala la bahati, kuwa mahali sahihi na kwa wakati sahihi.
 
Hili ni kweli, Shule tunazo soma zina influence sana katika circle yetu, Perception kuhusu maisha.

Kuna ukweli kidogo sana kuhusu hilo.

Mimi nilishawahi kupata position moja balaa kupitia mjomba wangu!! tena sikuandika barua na nilipewa maelekezo nikaenda siku ya interview. na huyo mjomba hakuwa amesoma na mimi nilisoma tusome wote.

Mi nadhani mzazi tengeneza njia za watoto wako haijalishi wanasoma wapi.
Pia mzazi angalia sana maisha unayoishi na jamii yako sana! kuanzia ndugu , majirani, kanisani huko vilabuni na vitu kama hivyo
 
Una miaka mingapi?
 
 
Sasa je unadhani mtoto akisoma kidumu na mfagio atauwa sawa na aliyesoma Braebun.
Lazima mtoto wa kidumu na mfagio awe na insecurities
Sema vitu vingine hatuwezi kuweka public!

Tena watoto wanaosoma hizo international schools bila mzazi kuwa macho na kuwa karibu na mtoto. mtoto ana uhakika mkubwa sana wa kuharibikiwa baadhi ya vitu.
kwa hili naongea kitu ambacho nina uhakika nacho na nakijua asilimia 100
 
Aina ya shule inaweza kuwa na mchango kwenye connection lakini sio mkubwa sana, na sio njia pekee.
JF hii hii watu wanapata connection, ni suala la bahati, kuwa mahali sahihi na kwa wakati sahihi.
Mkuu unahisi watu wanaenda fanya kazi mashirika makubwa duniani, au kwenye balozi za nchi au n.k watokea tu from nowhere
 
Uhusiano haupo kabisa!
kama una hela somesha huko tengezza njia ya wanao.
sio usomeshe kutegemea connection
Kuna being rich and wealth ni tofauti sana
Hata uache mabilioni na makampuni kama watoto ndio uliwasomesha kayumba utajiri wako utaisha ukifa
Hv unahisi kwann babaake mo dewji alimpeleka Mo kusoma USA miaka hiyo ya 1990s au watoto wa manji?
Haya angalia na matajiri wetu rangi nyeusi mtu kutoka kumiliki semi 600 leo mtu kawa omba omba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…