mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,236
- 954
yawezekana jamaa amemuoa Lizzy wa JF lakini hajatambua mpaka leo!
Lizzy si mchaga?
yawezekana jamaa amemuoa Lizzy wa JF lakini hajatambua mpaka leo!
long time kitambo, nimemvumilia sasa nimechoka
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?

Kuna jamaa aliwahi kusema mke wake alikuwa mkorofi, basi dawa yake ni kumpa ujauzito kila baada ya interval fupi fupi ! Ha ha haaa!
kila kukicha anazidi kujiona yeye ni malaika
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?
huenda wewe humwelewi mke wako, inaonekana anatatizo la malezi, yaani hayo anayoyafanya kwao yalikuwa yanakubalika.ndo maana wewe unaona anamdharau baba yake, lakini huenda baba yake hana tatizo na tabia za huyo mwenzio. Mvumilie mrekebishe taratibu.
Hizo ndo taabu na raha, siyo chuo kikuuu wala uhaya
Kaka ulichemka, mimi ni wa uko uko na naishi uyo Mke ni wa Mleba! Maana wanawake kutoka Muleba maeneo ya Nshaba, iyangiro, kamachumu ni hatari, sawa sawa na kuoa mmachame! Mfano mzuri ni kaka yangu ameoa mwanamke wa kihaya toka kamachumu, alikuwa mwalimu na sasa amejiendeleza na kusomea uhasibu then sasa anasomea Mastaz, Imekuwa ishu, hata wazazi wake aliwafukuza, Mkwe wake ndo anamtesa kama hana akili nzuri, wadogo zake wote ametimua, hakuna mgeni yoyote anaeenda pale. Cha kushangaza ameacha kazi yake ya ualimu baada ya kuwatukana waalimu wenzie kuwa hawezi kufundisha na masikini! Hata kwenye harusi yake alikataa kuwakaribisha walimu wenzie eti wao ni maskini na ameolewa na kaka yetu tajiri! Kaka umebugi kama si kuingia choo cha kike! Kwa taarifa yako hata mimi sijaoa uko ingawa nimeoa.
Pole sana