MKE wangu ni mjuzi wa kila jambo, kamshinda hata MUNGU

umangalia amekuaje huyo? maana wanwake wa kihaya hawana nyodo hivyo kuzidi wanaume wao labda wachache. nijuavyo mimi...
 
2 quick options to your solutions

1.piga makonzi,iweje mwanamke asikuheshimu kama kichwa cha familia?
2.tafuta nyumba dogo

long time solution
ongea na mzazi wakeutafute tatizo liko wapi.kuna mdau hapo juu kaongelea suala la malezi,inawezekana yeye kwake ni very normal kufanya anachofanya.
 
Mwanamke yeyote msomi anastaili yake ya kuishi nae, sasa ikiwa wewe si msomi na unataka afuate taratibu zako ambazo dhahiri zipo chini ya elimu yake, hakika atakudharau tena sana,
Ni vema ukakutana na wataalamu wa maswala ya saikolojia ya mapenzi wakuweke sawa ili uendane na usomi wa mkeo, ni vigumu kumrekebisha yeye ila ni rahisi kurekebishwa wewe! Nadhani hapo umenipata, ni vigumu mwerevu kuwa mjini kuliko mjinga kuwa mwerevu!

Kwa mujibu wa maelezo yako tatizo naliona kwako, ili uishi na mwanamke salama hasa msomi kama huyo yakupasa mume ujitune kama umepitia mafunzo ya CIA yani uwe na akili ya ziada usitegemee akili ya kuzaliwa! Ni pm kwa msaada zaidi!
 
Kuna jamaa aliwahi kusema mke wake alikuwa mkorofi, basi dawa yake ni kumpa ujauzito kila baada ya interval fupi fupi ! Ha ha haaa!
 
Mkuu hcho kichwa cha habar kibov hakuna m2mjuz ka mungu aliye umba mbingu na nchi na vi2 vyote vionekanavyo na visivyo onekana. . .
Thn about wanawake walio enda shule somtims unajiona uko chn thn una zani ni kosa la mwanamke kumbe syo so kua kichwa cha familia siyo miguu!
 
Badala ya kutumia kipaji cha mkeo kujitengenezea khali bora, unageuza majungu! Muanzishie kanisa, wewe unakuwa askofu yeye mtume, uje ututangazie hapa.
 
pole sana
lakini naamini hakuanza leo tatizo hilo na kwa upande mwingine umechangia kukuza tatizo kwa maana umeonyesha unyonge kwa mkeo na ndo maana imefika sehemu unaona ni tatizo lakini umelikuza wewe..
unatakiwa ukae chini ujipange jinsi yakukabiliana nalo kwani halihitaji nguvu sana linahitaji uelewa , jipe nafasi yako kama baba na ujiweke kwenye nafasi yako na uanze kuongoza haya mengine huja taratibu na hubadilika
 
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?

Hapana hakudharau, sikubaliani na wewe. Mi nadhani ni wewe unajidharau. Wanawake wa kihaya walio wengi wana complications tu lakini wako very inferior. Possibly umechanganya complications na dharau. Hakuna kitu kama hicho!

 
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?
Sidhani kama ni sababu. Labda ni tabia yake tu
 
Kuna jamaa aliwahi kusema mke wake alikuwa mkorofi, basi dawa yake ni kumpa ujauzito kila baada ya interval fupi fupi ! Ha ha haaa!
Mkuu umetoa zawadi gani kwa Chipolo polo? Nimeipenda hiyo suluhu yaani hadi Menopause unakuwa na watoto zaidi ya 15?
 
pole bana kuba!
hana lolote huyo! lamba bakora, aende kazini amevimba na kuchubuka usoni,
dozi ya wiki moja kila ck hasubui inatosha kabisa kumrejeshea uungwana
na tabia njema!
ukishindwa tualike!
 
Back
Top Bottom