Mke wangu ndio kasababisha nimsaliti

Mke wangu ndio kasababisha nimsaliti

Na inawezekana tatizo sio kukuambia alikusaliti tu, Bali kinachokuuma ni jinsi alivyokueleza jamaa alivyompelekea moto kiasi kwamba anaumiss Hadi Leo.
 
Hivi nyie wakristo mbona mnapenda sana kuzini utakaje na mwana mke miaka mine una zini nae tu. Ndoa huna na unaona ni kawaida na fahari sana mpaka unasimlia watu, mnasingizia kupata pesa na pesa zenyewe mpaka leo mnakosa.......
Acha ushamba watu kibao hawajafunga ndoa sio wakristo sio waislamu acha kupagawa na kufia dini na kibaya jamaa hajasema ni mkristo au dini gani. Ukiaja hapa kusema wakristo unazingua wakikuamshia wakristo usuanze kulia lia na dini yako ya mnyaazi
 
So kutokea Leo sintakuja tena kumsaliti mke wangu na Wala sitawahi kuja kumwambia nimemsaliti
Sasa yeye atakusaliti mapaka kitandani kwako! Wanaume wa aina yako huwa wapo dhaifu sana mbele ya wake zao japo hawaambiwi.... Yani huyo mkeo hadi kufikia kukuambia ukweli kwamba aliwahi kukusaliti wakati hukumshika, hukuwa na wasiwasi, maana yake ameona wewe ni kama katoto kake tu ambako hakana maajabu wala mkwara.
 
Siyo kweli; kabla ya kuanzisha uhusiano mwanaume unapaswa kuangalia past ya mwenzio, mwanamke anapaswa kuhakikisha future ya mwanaume wake. Ni muhimu sana.

Acha kusingizia watoto kwa udhaifu wako. Sema hauwezi kumuacha, kwa kifupi anakumudu na amekuweka kiganjani. Haufurukuti. Watoto ni kisingizio tu umepata.

Usaliti wa mwanaume na mwanamke haufanani. Hata akijua hawezi kuumia kama ulivyoumia wewe.

Wakati wewe umesaliti na bado unampenda, mwanamke akikusaliti ujue haupo moyoni mwake na yupo tayari kukupoteza kama ukimkamata.

Kwa ufupi huwa wanafanya risk assessment kabla ya ku-cheat, unlike men.

Bahati mbaya, mwanamke akishaku-cheat mara moja kuna uwezekano akafanya hivyo mara nyingi zaidi. Mbaya zaidi wako vizuri sana kwenye kuficha.

Ninafikiri kwenye uhusiano wenu wewe ndiyo unamhitaji zaidi huyo mwanamke kuliko anavyokuhitaji. Haya mengine unajifurahisha tu na kujitia moyo. Pole.
Huu ndio ukweli. Hakuna kingine mwamba ni mdhaifu na kadhihirisha udhaifu alipolipiza tendo bila kujua wanawake wakicheat wanaenda kwa kutafuta kuridhika na kufurahia tendo sisi tunafanyia tamaa tu
 
Sijui kwanini wenzetu hawaoni kinyaa cha kuzini.....
Hivi kwanini wakati mwingine waislam mnakuwa kama mmerukwa na akili? Kwamba mkishafunga ndoa ile pussy inaacha kutoa uchafu inaanza kutoa asali sio?

Nyinyi ni wa kupigwa
 
Hao waislamu wana kemea sana zina na muislamu anae ka na mwanamke bila huyu ni sugu au hajui dini yake.
Hakuna dini inayotetea dhambi, ndo maana kikristo Kuna kutengwa pale inapobainika umezini. Ko hata mtu anayetenda uzinzi haujui ukristo, au la afanya uasi(dhambi).
Si Islamic, Wala Kristian mwenye kujihesabia dhambi. Juzi tu kushinda Jana, nimemkamata Binti mwanafunzi, (shehati) Yuko anatoa huduma ya kindoa Kwa jamaa, getoni.
Ishitoshe, inasemakana kusagana, na kulana Malinda yametokea Mombasa(Jiji la dini ya kiislamu, tena huko wengi swala tano)
Siko hapa kuchambua uchafu wa dini Fulani. Ninachotaka kusema ni kwamba, dini nyingi, zinazomuogopa MUNGU zinahubiri tusitende dhambi, ila atendae dhambi si dini, ila muumini.
Muumini atendae dhambi akibainika, basi hatua uchukuliwa kulinga na Sheria ya dini husika
 
Kwanza kabisa naomba nishauri, ukibahatika kukutana na mtu unayempenda hata siku moja usije ukauliza au ukapata udadisi wa kuuliza mambo yake ya zamani, wewe Anza kumpenda pale mlipo anzia.

Okey turudi kwenye mada, nimekuwa nikiishi na mke wangu tangu tuanze kukaa pamoja huu ni mwaka almost WA nane, sijafunga nae ndoa lakini few months to come Mungu akijalia nitafunga nae pingu za maisha.

Katika kukaa kwetu Mungu katujalia watoto kadhaa na tunafuraha.

Mimi kama mwanaume tangu nizaliwe sijawah kukutana na mwanamke mwingine kimwili na Wala sijawahi kufikilia kumsaliti Kwa sababu nampenda sana tena sana.

Lakini mambo yalikuja kubadilika siku tulioamua kusimuliana mambo ya nyuma hasa mahusiano, Nilimwambia yangu ambayo yalikuwa dhaifu sana, Alinisimulia Mengi ya kwake alikuja kupigilia msumali pale aliponiambia Aliwahi KUNISALITI daaah.

Hapo hadi vipepeo vilicheza tumboni, nilishituka sana tena sana WHY? Kwa sababu nilimpenda na kumuamini sana kiasi kwamba sijawahi kufikilia kama anaweza nisaliti na Wala sijawahi kumuuliza kama amewahi kunisaliti na alinisaliti.

Mimi nikiwa nakomaa na PCB mitaa Fulani ya mkoa WA Kilimanjaro.

Amekaa na hiyo Siri takribani miaka nane yote niliokaa naye,

Nilijitahidi kumsamehe Kwa moyo wangu wote, lakini imagine unaishi na mwanamke aliekusaliti ingawa anasema mara moja lakini huwezi jua kama ni kweli au laah mana takribani miaka 3 tangu tuanze mahusiano tulitengana mi shule Alevel na yeye shule O level, sasa imagine wewe mwanaume hujawahi kumsaliti daah!!!

Ni kama udhaifu Fulani ivi!,
Laiti angeniambia mapema basi mahusiano yangeisha pale pale lakini tayari tuna watoto,.

Kimoyo safi mwanaume nikatoa msamaha lakini ule ukuta imara alionijengea wa kuto msaliti ukawa umeishia hapo, mana Kuna muda nilikuwa na uwezo hata WA kufanya mapenzi na mtu mwingine but najizuia Kwa sababu yake nikujua hajawahi nisaliti but not for today.

Kuna msichana nimemfukizia Kwa muda Wa wiki tatu, na Leo rasmi nimemsaliti mke wangu kipenzi kama alivofanya yeye miaka kadhaa nyuma. Na nimemsaliti sio Kwa sababu simpendi, hapana ila nataka nibalance mzani nisiwe namuona yeye anahatia ila nami nijiunge nae.

So kutokea Leo sintakuja tena kumsaliti mke wangu na Wala sitawahi kuja kumwambia nimemsaliti.

NB: Kuyaandika haya ni kwamba nimetoa la moyoni Ili hata siku nijichanganye vip yeye hata kuja kujua Wala sitakuja kumuambia
#ACHA YALIOPITA YAPITE
Mahusiano ya mtu wako kabla ya wewe usitake kuyajua kabisa.
NAWASILISHA NAOMBA KUSAMEHEWA[emoji120]

"Kwanza kabisa naomba nishauri, ukibahatika kukutana na mtu unayempenda hata siku moja usije ukauliza au ukapata udadisi wa kuuliza mambo yake ya zamani, wewe Anza kumpenda pale mlipo anzia"

Hivi kipimo cha kupimia Upendo Kimepatikana.
 
"Lakini mambo yalikuja kubadilika siku tulioamua kusimuliana mambo ya nyuma hasa mahusiano, Nilimwambia yangu ambayo yalikuwa dhaifu sana, Alinisimulia Mengi ya kwake alikuja kupigilia msumali pale aliponiambia Aliwahi KUNISALITI daaah"

Pamoja na hili anaweza akawa mke mzuri tu
 
Mambo ya kusimuliana mambo yaliyopita kwenye mahusiano yatakuja kukuua kwa presha...next tym atakuja kukwambia kuwa alimpa ndogo huyo bwana wake aliyepita kabla yako.
 
Ki ufupi bro ww ndo msaliti kama kweli ulikuwa unampenda usinge msaliti maana yy alikusaliti lakin bado amerudi kwako na anaishi na ww na amekuzalia watoto,

Ww umeamua kumsaliti na kwenda kwenye mchepuko, shame on you tena ww ni kuku wa kizungu hutulii hzo tamaa zako za mwili zitakuponza bado ujachekewa rudi kwa mkeo wako maana paka sasa huyo ni mkeo hata kama hujamuoa umeishi na kwa zaid ya mwaka

Acha ujinga, kuku ww wa kizungu
 
Hivi nyie wakristo mbona mnapenda sana kuzini utakaje na mwana mke miaka mine una zini nae tu. Ndoa huna na unaona ni kawaida na fahari sana mpaka unasimlia watu, mnasingizia kupata pesa na pesa zenyewe mpaka leo mnakosa.......
Umejuaje ni Mkristo?
 
Kwanza kabisa naomba nishauri, ukibahatika kukutana na mtu unayempenda hata siku moja usije ukauliza au ukapata udadisi wa kuuliza mambo yake ya zamani, wewe Anza kumpenda pale mlipo anzia.

Okey turudi kwenye mada, nimekuwa nikiishi na mke wangu tangu tuanze kukaa pamoja huu ni mwaka almost WA nane, sijafunga nae ndoa lakini few months to come Mungu akijalia nitafunga nae pingu za maisha.

Katika kukaa kwetu Mungu katujalia watoto kadhaa na tunafuraha.

Mimi kama mwanaume tangu nizaliwe sijawah kukutana na mwanamke mwingine kimwili na Wala sijawahi kufikilia kumsaliti Kwa sababu nampenda sana tena sana.

Lakini mambo yalikuja kubadilika siku tulioamua kusimuliana mambo ya nyuma hasa mahusiano, Nilimwambia yangu ambayo yalikuwa dhaifu sana, Alinisimulia Mengi ya kwake alikuja kupigilia msumali pale aliponiambia Aliwahi KUNISALITI daaah.

Hapo hadi vipepeo vilicheza tumboni, nilishituka sana tena sana WHY? Kwa sababu nilimpenda na kumuamini sana kiasi kwamba sijawahi kufikilia kama anaweza nisaliti na Wala sijawahi kumuuliza kama amewahi kunisaliti na alinisaliti.

Mimi nikiwa nakomaa na PCB mitaa Fulani ya mkoa WA Kilimanjaro.

Amekaa na hiyo Siri takribani miaka nane yote niliokaa naye,

Nilijitahidi kumsamehe Kwa moyo wangu wote, lakini imagine unaishi na mwanamke aliekusaliti ingawa anasema mara moja lakini huwezi jua kama ni kweli au laah mana takribani miaka 3 tangu tuanze mahusiano tulitengana mi shule Alevel na yeye shule O level, sasa imagine wewe mwanaume hujawahi kumsaliti daah!!!

Ni kama udhaifu Fulani ivi!,
Laiti angeniambia mapema basi mahusiano yangeisha pale pale lakini tayari tuna watoto,.

Kimoyo safi mwanaume nikatoa msamaha lakini ule ukuta imara alionijengea wa kuto msaliti ukawa umeishia hapo, mana Kuna muda nilikuwa na uwezo hata WA kufanya mapenzi na mtu mwingine but najizuia Kwa sababu yake nikujua hajawahi nisaliti but not for today.

Kuna msichana nimemfukizia Kwa muda Wa wiki tatu, na Leo rasmi nimemsaliti mke wangu kipenzi kama alivofanya yeye miaka kadhaa nyuma. Na nimemsaliti sio Kwa sababu simpendi, hapana ila nataka nibalance mzani nisiwe namuona yeye anahatia ila nami nijiunge nae.

So kutokea Leo sintakuja tena kumsaliti mke wangu na Wala sitawahi kuja kumwambia nimemsaliti.

NB: Kuyaandika haya ni kwamba nimetoa la moyoni Ili hata siku nijichanganye vip yeye hata kuja kujua Wala sitakuja kumuambia
#ACHA YALIOPITA YAPITE
Mahusiano ya mtu wako kabla ya wewe usitake kuyajua kabisa.
NAWASILISHA NAOMBA KUSAMEHEWA[emoji120]
Acha utoto wewe.....Mwanaume hana visasi na vinyongo....Mbona sisi tunawasaliti sana wanawake na wanatusamehe
 
Hivi nyie wakristo mbona mnapenda sana kuzini utakaje na mwana mke miaka mine una zini nae tu. Ndoa huna na unaona ni kawaida na fahari sana mpaka unasimlia watu, mnasingizia kupata pesa na pesa zenyewe mpaka leo mnakosa.......
Mkuu umezaliwa mwaka gani na dini umezijua mwaka gani...Tofautisha dini na hulka za binadamu...But sishangai waafrika dini za kúletewa na wakoloni wa kizungu na kiarabu zimewaharíbu akili
 
Unaongelea uislam ao walimu wa madrasa?

Dini ya uislamu imekemea zinaa mwalimu wa madrasa akiteleza siyo uislam umemwamrisha,,

Istoshe hawezi mwalimu wa madrasa kukaa na mwanamke anamzini miaka mitano halafu ndiyo aoe,,

Uislamu ni mwepesi kwenye ndoa,,
Hayo ya kulawiti hayana msingi wowote
Kwahiyo ukristo hsujakemea zinaa mkuu??? Kwahiyo ukristo mzito kwenye ndoa mkuu???
 
Kwanza kabisa naomba nishauri, ukibahatika kukutana na mtu unayempenda hata siku moja usije ukauliza au ukapata udadisi wa kuuliza mambo yake ya zamani, wewe Anza kumpenda pale mlipo anzia.

Okey turudi kwenye mada, nimekuwa nikiishi na mke wangu tangu tuanze kukaa pamoja huu ni mwaka almost WA nane, sijafunga nae ndoa lakini few months to come Mungu akijalia nitafunga nae pingu za maisha.

Katika kukaa kwetu Mungu katujalia watoto kadhaa na tunafuraha.

Mimi kama mwanaume tangu nizaliwe sijawah kukutana na mwanamke mwingine kimwili na Wala sijawahi kufikilia kumsaliti Kwa sababu nampenda sana tena sana.

Lakini mambo yalikuja kubadilika siku tulioamua kusimuliana mambo ya nyuma hasa mahusiano, Nilimwambia yangu ambayo yalikuwa dhaifu sana, Alinisimulia Mengi ya kwake alikuja kupigilia msumali pale aliponiambia Aliwahi KUNISALITI daaah.

Hapo hadi vipepeo vilicheza tumboni, nilishituka sana tena sana WHY? Kwa sababu nilimpenda na kumuamini sana kiasi kwamba sijawahi kufikilia kama anaweza nisaliti na Wala sijawahi kumuuliza kama amewahi kunisaliti na alinisaliti.

Mimi nikiwa nakomaa na PCB mitaa Fulani ya mkoa WA Kilimanjaro.

Amekaa na hiyo Siri takribani miaka nane yote niliokaa naye,

Nilijitahidi kumsamehe Kwa moyo wangu wote, lakini imagine unaishi na mwanamke aliekusaliti ingawa anasema mara moja lakini huwezi jua kama ni kweli au laah mana takribani miaka 3 tangu tuanze mahusiano tulitengana mi shule Alevel na yeye shule O level, sasa imagine wewe mwanaume hujawahi kumsaliti daah!!!

Ni kama udhaifu Fulani ivi!,
Laiti angeniambia mapema basi mahusiano yangeisha pale pale lakini tayari tuna watoto,.

Kimoyo safi mwanaume nikatoa msamaha lakini ule ukuta imara alionijengea wa kuto msaliti ukawa umeishia hapo, mana Kuna muda nilikuwa na uwezo hata WA kufanya mapenzi na mtu mwingine but najizuia Kwa sababu yake nikujua hajawahi nisaliti but not for today.

Kuna msichana nimemfukizia Kwa muda Wa wiki tatu, na Leo rasmi nimemsaliti mke wangu kipenzi kama alivofanya yeye miaka kadhaa nyuma. Na nimemsaliti sio Kwa sababu simpendi, hapana ila nataka nibalance mzani nisiwe namuona yeye anahatia ila nami nijiunge nae.

So kutokea Leo sintakuja tena kumsaliti mke wangu na Wala sitawahi kuja kumwambia nimemsaliti.

NB: Kuyaandika haya ni kwamba nimetoa la moyoni Ili hata siku nijichanganye vip yeye hata kuja kujua Wala sitakuja kumuambia
#ACHA YALIOPITA YAPITE
Mahusiano ya mtu wako kabla ya wewe usitake kuyajua kabisa.
NAWASILISHA NAOMBA KUSAMEHEWA[emoji120]
Kwa hiyo umemind mkeo kukusaliti mkiwa O' level tho mmekaa miaka 8 ya sogea tuishi..kwa hiyo baada ya kumsaliliti umeridhika basi sawa tusubiri ndoa mzee baba.[emoji122][emoji122][emoji122]
 
story ya kijinga na ya uongo kabisa, bado ni wanafunzi mmoja O level mwingine A level unahesabu ni mkeo
 
Back
Top Bottom