Mke wangu ndio kasababisha nimsaliti

Mke wangu ndio kasababisha nimsaliti

Kwanza kabisa naomba nishauri, ukibahatika kukutana na mtu unayempenda hata siku moja usije ukauliza au ukapata udadisi wa kuuliza mambo yake ya zamani, wewe Anza kumpenda pale mlipo anzia.

Okey turudi kwenye mada, nimekuwa nikiishi na mke wangu tangu tuanze kukaa pamoja huu ni mwaka almost WA nane, sijafunga nae ndoa lakini few months to come Mungu akijalia nitafunga nae pingu za maisha.

Katika kukaa kwetu Mungu katujalia watoto kadhaa na tunafuraha.

Mimi kama mwanaume tangu nizaliwe sijawah kukutana na mwanamke mwingine kimwili na Wala sijawahi kufikilia kumsaliti Kwa sababu nampenda sana tena sana.

Lakini mambo yalikuja kubadilika siku tulioamua kusimuliana mambo ya nyuma hasa mahusiano, Nilimwambia yangu ambayo yalikuwa dhaifu sana, Alinisimulia Mengi ya kwake alikuja kupigilia msumali pale aliponiambia Aliwahi KUNISALITI daaah.

Hapo hadi vipepeo vilicheza tumboni, nilishituka sana tena sana WHY? Kwa sababu nilimpenda na kumuamini sana kiasi kwamba sijawahi kufikilia kama anaweza nisaliti na Wala sijawahi kumuuliza kama amewahi kunisaliti na alinisaliti.

Mimi nikiwa nakomaa na PCB mitaa Fulani ya mkoa WA Kilimanjaro.

Amekaa na hiyo Siri takribani miaka nane yote niliokaa naye,

Nilijitahidi kumsamehe Kwa moyo wangu wote, lakini imagine unaishi na mwanamke aliekusaliti ingawa anasema mara moja lakini huwezi jua kama ni kweli au laah mana takribani miaka 3 tangu tuanze mahusiano tulitengana mi shule Alevel na yeye shule O level, sasa imagine wewe mwanaume hujawahi kumsaliti daah!!!

Ni kama udhaifu Fulani ivi!,
Laiti angeniambia mapema basi mahusiano yangeisha pale pale lakini tayari tuna watoto,.

Kimoyo safi mwanaume nikatoa msamaha lakini ule ukuta imara alionijengea wa kuto msaliti ukawa umeishia hapo, mana Kuna muda nilikuwa na uwezo hata WA kufanya mapenzi na mtu mwingine but najizuia Kwa sababu yake nikujua hajawahi nisaliti but not for today.

Kuna msichana nimemfukizia Kwa muda Wa wiki tatu, na Leo rasmi nimemsaliti mke wangu kipenzi kama alivofanya yeye miaka kadhaa nyuma. Na nimemsaliti sio Kwa sababu simpendi, hapana ila nataka nibalance mzani nisiwe namuona yeye anahatia ila nami nijiunge nae.

So kutokea Leo sintakuja tena kumsaliti mke wangu na Wala sitawahi kuja kumwambia nimemsaliti.

NB: Kuyaandika haya ni kwamba nimetoa la moyoni Ili hata siku nijichanganye vip yeye hata kuja kujua Wala sitakuja kumuambia
#ACHA YALIOPITA YAPITE
Mahusiano ya mtu wako kabla ya wewe usitake kuyajua kabisa.
NAWASILISHA NAOMBA KUSAMEHEWA[emoji120]

Kumbe wakati anakusaliti wote mlikuwa bado watoto na zaidi mlikuwa bado hamuishi pamoja.
 
Jamani mnatuabisha Wanaume,hivi hata kwenye hivyo vitabu vya dini kuna andiko gani linasema Mwanaume anasaliti.
Mwanamke ndio anasaliti,cozi Mwanamke anakuwa na Mme mmoja ila Mwaname hawezi kuwa na mwanamke mmoja
 
Kwanza kabisa naomba nishauri, ukibahatika kukutana na mtu unayempenda hata siku moja usije ukauliza au ukapata udadisi wa kuuliza mambo yake ya zamani, wewe Anza kumpenda pale mlipo anzia.

Okey turudi kwenye mada, nimekuwa nikiishi na mke wangu tangu tuanze kukaa pamoja huu ni mwaka almost WA nane, sijafunga nae ndoa lakini few months to come Mungu akijalia nitafunga nae pingu za maisha.

Katika kukaa kwetu Mungu katujalia watoto kadhaa na tunafuraha.

Mimi kama mwanaume tangu nizaliwe sijawah kukutana na mwanamke mwingine kimwili na Wala sijawahi kufikilia kumsaliti Kwa sababu nampenda sana tena sana.

Lakini mambo yalikuja kubadilika siku tulioamua kusimuliana mambo ya nyuma hasa mahusiano, Nilimwambia yangu ambayo yalikuwa dhaifu sana, Alinisimulia Mengi ya kwake alikuja kupigilia msumali pale aliponiambia Aliwahi KUNISALITI daaah.

Hapo hadi vipepeo vilicheza tumboni, nilishituka sana tena sana WHY? Kwa sababu nilimpenda na kumuamini sana kiasi kwamba sijawahi kufikilia kama anaweza nisaliti na Wala sijawahi kumuuliza kama amewahi kunisaliti na alinisaliti.

Mimi nikiwa nakomaa na PCB mitaa Fulani ya mkoa WA Kilimanjaro.

Amekaa na hiyo Siri takribani miaka nane yote niliokaa naye,

Nilijitahidi kumsamehe Kwa moyo wangu wote, lakini imagine unaishi na mwanamke aliekusaliti ingawa anasema mara moja lakini huwezi jua kama ni kweli au laah mana takribani miaka 3 tangu tuanze mahusiano tulitengana mi shule Alevel na yeye shule O level, sasa imagine wewe mwanaume hujawahi kumsaliti daah!!!

Ni kama udhaifu Fulani ivi!,
Laiti angeniambia mapema basi mahusiano yangeisha pale pale lakini tayari tuna watoto,.

Kimoyo safi mwanaume nikatoa msamaha lakini ule ukuta imara alionijengea wa kuto msaliti ukawa umeishia hapo, mana Kuna muda nilikuwa na uwezo hata WA kufanya mapenzi na mtu mwingine but najizuia Kwa sababu yake nikujua hajawahi nisaliti but not for today.

Kuna msichana nimemfukizia Kwa muda Wa wiki tatu, na Leo rasmi nimemsaliti mke wangu kipenzi kama alivofanya yeye miaka kadhaa nyuma. Na nimemsaliti sio Kwa sababu simpendi, hapana ila nataka nibalance mzani nisiwe namuona yeye anahatia ila nami nijiunge nae.

So kutokea Leo sintakuja tena kumsaliti mke wangu na Wala sitawahi kuja kumwambia nimemsaliti.

NB: Kuyaandika haya ni kwamba nimetoa la moyoni Ili hata siku nijichanganye vip yeye hata kuja kujua Wala sitakuja kumuambia
#ACHA YALIOPITA YAPITE
Mahusiano ya mtu wako kabla ya wewe usitake kuyajua kabisa.
NAWASILISHA NAOMBA KUSAMEHEWA[emoji120]
uachage kufuatilia mambo ambayo si ya msingi, utazeeka mapema
 
Sijui kwanini wenzetu hawaoni kinyaa cha kuzini.....
Hapo kuna kinyaa au imani yako ndiyo inakuelekeza hivyo.Kwa hiyo ukishafunga ndoa ndiyo panasafishwa huoni tena kinyaa?Mshauri afunge/arasimishe/abariki ndoa.Hayo ya kusingizia sijui Wakristu wamefanyaje unajichosha.Na vipi mtu akifunga ndoa halafu ana vimada wengine kama gunia mbili?Dini imekufanya umekuwa mwehu.
 
Kwanza kabisa naomba nishauri, ukibahatika kukutana na mtu unayempenda hata siku moja usije ukauliza au ukapata udadisi wa kuuliza mambo yake ya zamani, wewe Anza kumpenda pale mlipo anzia.

Okey turudi kwenye mada, nimekuwa nikiishi na mke wangu tangu tuanze kukaa pamoja huu ni mwaka almost WA nane, sijafunga nae ndoa lakini few months to come Mungu akijalia nitafunga nae pingu za maisha.

Katika kukaa kwetu Mungu katujalia watoto kadhaa na tunafuraha.

Mimi kama mwanaume tangu nizaliwe sijawah kukutana na mwanamke mwingine kimwili na Wala sijawahi kufikilia kumsaliti Kwa sababu nampenda sana tena sana.

Lakini mambo yalikuja kubadilika siku tulioamua kusimuliana mambo ya nyuma hasa mahusiano, Nilimwambia yangu ambayo yalikuwa dhaifu sana, Alinisimulia Mengi ya kwake alikuja kupigilia msumali pale aliponiambia Aliwahi KUNISALITI daaah.

Hapo hadi vipepeo vilicheza tumboni, nilishituka sana tena sana WHY? Kwa sababu nilimpenda na kumuamini sana kiasi kwamba sijawahi kufikilia kama anaweza nisaliti na Wala sijawahi kumuuliza kama amewahi kunisaliti na alinisaliti.

Mimi nikiwa nakomaa na PCB mitaa Fulani ya mkoa WA Kilimanjaro.

Amekaa na hiyo Siri takribani miaka nane yote niliokaa naye,

Nilijitahidi kumsamehe Kwa moyo wangu wote, lakini imagine unaishi na mwanamke aliekusaliti ingawa anasema mara moja lakini huwezi jua kama ni kweli au laah mana takribani miaka 3 tangu tuanze mahusiano tulitengana mi shule Alevel na yeye shule O level, sasa imagine wewe mwanaume hujawahi kumsaliti daah!!!

Ni kama udhaifu Fulani ivi!,
Laiti angeniambia mapema basi mahusiano yangeisha pale pale lakini tayari tuna watoto,.

Kimoyo safi mwanaume nikatoa msamaha lakini ule ukuta imara alionijengea wa kuto msaliti ukawa umeishia hapo, mana Kuna muda nilikuwa na uwezo hata WA kufanya mapenzi na mtu mwingine but najizuia Kwa sababu yake nikujua hajawahi nisaliti but not for today.

Kuna msichana nimemfukizia Kwa muda Wa wiki tatu, na Leo rasmi nimemsaliti mke wangu kipenzi kama alivofanya yeye miaka kadhaa nyuma. Na nimemsaliti sio Kwa sababu simpendi, hapana ila nataka nibalance mzani nisiwe namuona yeye anahatia ila nami nijiunge nae.

So kutokea Leo sintakuja tena kumsaliti mke wangu na Wala sitawahi kuja kumwambia nimemsaliti.

NB: Kuyaandika haya ni kwamba nimetoa la moyoni Ili hata siku nijichanganye vip yeye hata kuja kujua Wala sitakuja kumuambia
#ACHA YALIOPITA YAPITE
Mahusiano ya mtu wako kabla ya wewe usitake kuyajua kabisa.
NAWASILISHA NAOMBA KUSAMEHEWA[emoji120]
Kapime DNA watoto
 
Unaongea utumbo tu ni walimu wa ngapi wa madrasa tunashuhudia wakilawiti vijana? Ebu kaa kimya acha ushabiki maandazi...
Unaongelea uislam ao walimu wa madrasa?

Dini ya uislamu imekemea zinaa mwalimu wa madrasa akiteleza siyo uislam umemwamrisha,,

Istoshe hawezi mwalimu wa madrasa kukaa na mwanamke anamzini miaka mitano halafu ndiyo aoe,,

Uislamu ni mwepesi kwenye ndoa,,
Hayo ya kulawiti hayana msingi wowote
 
Kwanza kabisa naomba nishauri, ukibahatika kukutana na mtu unayempenda hata siku moja usije ukauliza au ukapata udadisi wa kuuliza mambo yake ya zamani, wewe Anza kumpenda pale mlipo anzia.

Okey turudi kwenye mada, nimekuwa nikiishi na mke wangu tangu tuanze kukaa pamoja huu ni mwaka almost WA nane, sijafunga nae ndoa lakini few months to come Mungu akijalia nitafunga nae pingu za maisha.

Katika kukaa kwetu Mungu katujalia watoto kadhaa na tunafuraha.

Mimi kama mwanaume tangu nizaliwe sijawah kukutana na mwanamke mwingine kimwili na Wala sijawahi kufikilia kumsaliti Kwa sababu nampenda sana tena sana.

Lakini mambo yalikuja kubadilika siku tulioamua kusimuliana mambo ya nyuma hasa mahusiano, Nilimwambia yangu ambayo yalikuwa dhaifu sana, Alinisimulia Mengi ya kwake alikuja kupigilia msumali pale aliponiambia Aliwahi KUNISALITI daaah.

Hapo hadi vipepeo vilicheza tumboni, nilishituka sana tena sana WHY? Kwa sababu nilimpenda na kumuamini sana kiasi kwamba sijawahi kufikilia kama anaweza nisaliti na Wala sijawahi kumuuliza kama amewahi kunisaliti na alinisaliti.

Mimi nikiwa nakomaa na PCB mitaa Fulani ya mkoa WA Kilimanjaro.

Amekaa na hiyo Siri takribani miaka nane yote niliokaa naye,

Nilijitahidi kumsamehe Kwa moyo wangu wote, lakini imagine unaishi na mwanamke aliekusaliti ingawa anasema mara moja lakini huwezi jua kama ni kweli au laah mana takribani miaka 3 tangu tuanze mahusiano tulitengana mi shule Alevel na yeye shule O level, sasa imagine wewe mwanaume hujawahi kumsaliti daah!!!

Ni kama udhaifu Fulani ivi!,
Laiti angeniambia mapema basi mahusiano yangeisha pale pale lakini tayari tuna watoto,.

Kimoyo safi mwanaume nikatoa msamaha lakini ule ukuta imara alionijengea wa kuto msaliti ukawa umeishia hapo, mana Kuna muda nilikuwa na uwezo hata WA kufanya mapenzi na mtu mwingine but najizuia Kwa sababu yake nikujua hajawahi nisaliti but not for today.

Kuna msichana nimemfukizia Kwa muda Wa wiki tatu, na Leo rasmi nimemsaliti mke wangu kipenzi kama alivofanya yeye miaka kadhaa nyuma. Na nimemsaliti sio Kwa sababu simpendi, hapana ila nataka nibalance mzani nisiwe namuona yeye anahatia ila nami nijiunge nae.

So kutokea Leo sintakuja tena kumsaliti mke wangu na Wala sitawahi kuja kumwambia nimemsaliti.

NB: Kuyaandika haya ni kwamba nimetoa la moyoni Ili hata siku nijichanganye vip yeye hata kuja kujua Wala sitakuja kumuambia
#ACHA YALIOPITA YAPITE
Mahusiano ya mtu wako kabla ya wewe usitake kuyajua kabisa.
NAWASILISHA NAOMBA KUSAMEHEWA[emoji120]
🤔🤔🤔🤔🤔

"Kwanza kabisa naomba nishauri, ukibahatika kukutana na mtu unayempenda hata siku moja usije ukauliza au ukapata udadisi wa kuuliza mambo yake ya zamani, wewe Anza kumpenda pale mlipo anzia

Ulienda kinyume na mantra Yako mwenyewe

Halafu sijui ni kwanini k*Ma ya mwanamke mnaipa uzito kihivyo,Ile dawa yake Huwa ni B29 tu

OSHA piga p*mbu maisha yaendeleee

Kila siku zinazaliwa zile
 
Ila watu mna expectations za ajabu kweli. Dunia hii ya leo kweli kabisa unajiaminisha kiwa mbususu ni yako weye peke🤣🤣🤣🤣🤣
Mnajitakia stress za bure
 
Hivi nyie wakristo mbona mnapenda sana kuzini utakaje na mwana mke miaka mine una zini nae tu. Ndoa huna na unaona ni kawaida na fahari sana mpaka unasimlia watu, mnasingizia kupata pesa na pesa zenyewe mpaka leo mnakosa.......
Sio minne miaka nane(8)wanazini tu 🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️
 
Mkuu similizi zake ndo zinaonyesha kwamba ni mkristo huwezi kukaa na mtoto wa mtu miaka minne af akawa nanguvu kusimlia hivo, wao wanaona ni sehemu ya maisha.
Mbona una justify kitoto hivi..!!?
 
Ukicheat usitafute visababu vya kuhalalisha.

Kubali umefanya maisha mengine yaendelee
Halafu mwenzie alichokifanya hakikuwa kuchiti..!! We mpo sekondari huko kila mtu bado anatafuta unasema alikuchiti..!! Yeye sasa ndo anachiti maana kisheria ni mke na mume..!!
 
Kwanza kabisa naomba nishauri, ukibahatika kukutana na mtu unayempenda hata siku moja usije ukauliza au ukapata udadisi wa kuuliza mambo yake ya zamani, wewe Anza kumpenda pale mlipo anzia.
Siyo kweli; kabla ya kuanzisha uhusiano mwanaume unapaswa kuangalia past ya mwenzio, mwanamke anapaswa kuhakikisha future ya mwanaume wake. Ni muhimu sana.

Ni kama udhaifu Fulani ivi!,
Laiti angeniambia mapema basi mahusiano yangeisha pale pale lakini tayari tuna watoto
Acha kusingizia watoto kwa udhaifu wako. Sema hauwezi kumuacha, kwa kifupi anakumudu na amekuweka kiganjani. Haufurukuti. Watoto ni kisingizio tu umepata.

Kuna msichana nimemfukizia Kwa muda Wa wiki tatu, na Leo rasmi nimemsaliti mke wangu kipenzi kama alivofanya yeye miaka kadhaa nyuma. Na nimemsaliti sio Kwa sababu simpendi, hapana ila nataka nibalance mzani nisiwe namuona yeye anahatia ila nami nijiunge nae.
Usaliti wa mwanaume na mwanamke haufanani. Hata akijua hawezi kuumia kama ulivyoumia wewe.

Wakati wewe umesaliti na bado unampenda, mwanamke akikusaliti ujue haupo moyoni mwake na yupo tayari kukupoteza kama ukimkamata.

Kwa ufupi huwa wanafanya risk assessment kabla ya ku-cheat, unlike men.

Bahati mbaya, mwanamke akishaku-cheat mara moja kuna uwezekano akafanya hivyo mara nyingi zaidi. Mbaya zaidi wako vizuri sana kwenye kuficha.

Ninafikiri kwenye uhusiano wenu wewe ndiyo unamhitaji zaidi huyo mwanamke kuliko anavyokuhitaji. Haya mengine unajifurahisha tu na kujitia moyo. Pole.
 
Back
Top Bottom