Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
- Thread starter
- #41
.... Kongosho umeua ndege wawili kwa jiwe moja!
Umetafsiri kwa 'tafsiri' yako na umegusia suala muhimu kwamba "makaratasi" na viapo havitoshi kumfanya mtu ni mkeo/mumeo....
Ila, amini usiamini .... Wapo wengi tu ambao wameoana kwa ajili ya hiyo "hati" na viapo pia....and they claim every right watambulike kama Mke/Mume "halali" kukidhi matakwa yao fulani kwa muda fulani...

Last edited by a moderator: