Mke/mume wangu huwa ina be applied kwa wale waliofunga ndoa na kuchagua ndoa ya mke /mume mmja tu ila kwa wale ndoa ya mme na wake wengi tunasema mume wetu kwa hiyo Mbu ongeza na mume wetu ili mada iende sawa sawia
Naona kama tunaelekea somewhere..
tukishasema huyu wa kwangu ndo na migogoro inaanza hapo
as if kwa kuwa ni wa kwako anakuwa 'anawajibika' kukupenda hata umuudhi vipi
au hata kama unam treat unfairly ?
^^
Kiwakilishi kimilikishi
^^
Mke ni nomino na wangu ni kivumishi kimilikishi, maana yake ni mwanamke unayemmiliki na una haki zote na wajibu naye, kijamii na kisheria pia.
mkuu kwani mtoa mada ameuliza ni aina gani ya neno? Lol!!
Ni swali gumu kwa kweli, kila mtu ana definition yake tofauti. Unaweza kuwa umeoana kihalali na mtu, tuseme Shabani, lakini 'mume wangu' akawa mwingine kabisa, tana anaitwa Emanuel.
Kuna saa unakuta kaoa mtu kihalali, ila akiwa kwa watu anasema 'ila huyu niliyenaye basi tu, mie mke wangu bana alikuwa fulani'.
...... Kongosho umenielewa vizuri sana. Ndio maana nikaomba tafsiri ya kila mmoja wa wachangiaji juu ya hili...
Mke wangu ni mwenza wangu na nimeweka nadhiri naye mbele ya usharika/public kwamba tutaishi pamoja kwa shida na raha mpaka kifo kitakapotutenganisha na tumekuwa mwili mmoja!! Ni nadhiri ngumu sana na inatakiwa iheshimiwe na wanandoa wote!!!