BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,337
Mkuu ulitaka apige kimya? Mwambie tu marafiki zako wakimtongoza auchune tu badala ya kutaka kuanzisha varangati.
Ndugu zangu Kweli ni sahih kwa mke wangu kuniambia kama rafiki yangu wa karibu ambaye pia ni mfanyakaz mwezangu yakuwa amemtongoza? Na je? nifanye nn
Sent using Jamii Forums mobile app