Mke wangu kutongozwa na rafiki yangu

Mke wangu kutongozwa na rafiki yangu

Ndugu zangu Kweli ni sahih kwa mke wangu kuniambia kama rafiki yangu wa karibu ambaye pia ni mfanyakaz mwezangu yakuwa amemtongoza? Na je? nifanye nn

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama si sahihi ulitaka afanyaje? kama hujui cha kufanya ulikuwa uja qualify kuoa, rudisha mtoto wa watu!!!!
 
Rafiki yako kama ni kweli kamtongoza mkeo kuna sehemu wewe umekosea, chunguza sana kama una moja ya tabia zifuatazo :
MOSI :kumsifia sana mkeo mbele ya wanaume wenzio na kuwasimulia mambo yenu
PILI:Kila wakati ukitoka naye kwenda sehemu za burudani unaruhusu kuwa na marafiki wengine mara kwa mara, na hasa kama mnatumia bia kidogo.
TATU:Kila ukitoka na mkeo unaruhusu mambo ya uzungu mkeo ananunuliwa kila kitu na marafiki zako kuanzia chakula mpaka vinywaji
NNE:Unaruhusu unafiki uliopitiliza /usio na mipaka kati yako na huyo rafiki .

Kama kuna moja kati ya haya badilika haraka, wanawake ni wepesi sisi tunapaswa tusiwatengenezee mazingira ya kuanguka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za kuambiwa changanya na zako... Ngoja siku akuambie ameshapigwa mashine ufe kwa presha!!!
 
heee angenyamaza pia c ungehoji basi waachie uwanja
 
[Furahi sana eeh Binti Sayuni, piga kelele eeh binti Yerusalemu].

Mkeo kutongozwa inakuthibitishia kuwa umeoa dem kiwango. So mi naona liwe jambo la wewe kufurahia (ila mkanye asikubali vishawishi).
Ukiona dem/mkeo hasumbuliwi na wanaume wengine jua umeingia choo cha kike. Umeoa asiye na mvuto. Yani kuna uwezekano kama wewe usingemuona basi asingekuwa kaolewa mpaka sasa!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni kweli pamoja ni ngumu kumeza,
Kama hataki atongozwe aweke mgomba ndani.
 
Back
Top Bottom