Mke wangu kutongozwa na rafiki yangu

Mke wangu kutongozwa na rafiki yangu

Kweli hujui unataka nini au umepatwa na jakamoyo
 
Yan vitu vingine bhnaa siyo issue sana za kuhitaji majadiliano. Mkeo kakuambia koz anakupenda ww nae unatuambia sie kwasabb gani?

Mambo mengine mmalizane nyie kwa nyie yaani wanandoa siyo ya kuleta humu jamani.

Sikuhizi mafundisho ya ndoa hakuna zimebaki show off za harusi na mitarumbeta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marafiki wa siku hizi ni marafiki basi!!!

Urafiki wa kinafiki tu.
 
Ndugu zangu Kweli ni sahih kwa mke wangu kuniambia kama rafiki yangu wa karibu ambaye pia ni mfanyakaz mwezangu yakuwa amemtongoza? Na je? nifanye nn

Sent using Jamii Forums mobile app
fanya mambo yako mbona wanao mgonga hasemi?mimi sijawahi muamini mwanamke wanawake ni nyoka ambae hajampenda anakuja kukwambia ambae amemupenda wanamegana yaani we acha tu ukifatilia hawa watu utachoka piga kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom