Mke wangu kapasua simu yake tena hii ni mara ya pili kisa hasira za kuchelewa kupokea simu zake

Hahahaaa,

Nilishawahi kufanya hii kitu kwa wife, nilimnunulia Samsung A12, mtoto nawaondosha ikawa na crack ya kawaida tu.
Mwishowe yeye na shoga ake wakashauriana eti wauze na akae bila simu hivyo itanifanya nimnunulie simu nyingine.
Nimeuchuna zaidi ya miezi sita sijanunua wala kujitingisha kuzungumza kuhusu hilo, at the of her drama akaingia huko vikobani kwake na kujinunulia yeye mwenyewe Infinix Hot 10.
ndo ulijua kumkomesha lol.
 
Mkuu hawezi kununua simu yake she has no direct income zaidi ya zawadi nazo mpa, hapo ntakua na mwambia aende akafanye mengine .
Lea kama yai mkuu soon atakuwa boom na atakulipukia.
Mwache achange change zawad unazompa anunue simu aone mateso unayopata atajifunza kitu.
Kunanamna nying sana za kumfunza na kumwonya mtu ila hii ni bora zaid ila ukiona n mbaya basi amua vile waona yafaaa
 
Definitely not at all...
In short Mental health is a state of mental well-being that enables people to cope with the stresses of life, realize their abilities, learn well and work well, and contribute to their community.
It is an integral component of health and well-being that underpins our individual and collective abilities to make decisions, build relationships and shape the world we live in. Mental health is a basic human right. And it is crucial to personal, community and socio-economic development.

In your case, shemeji yetu ana shida kwenye '' collective abilities to make decisions''.

The fact that under certain conditions your wife is behaving strange way; throwing a phone, it is not something normal or expected once someone is angry. It means she is losing control in the heat of anger.
intense anger has been linked with mental health problems including depression, anxiety and self-harm. It is also linked to poorer overall physical health.
Your wife is suffering from intense anger.
 
Hii ni mara ya pili huyu mwanamke anapasua simu yake kwasababu ya hasira na jaziba zinazo mshinda kuhimili akili zake, lakini anajutia baada ya kufanya hilo, bila shida kama mwana saikolojia najua huu ni ugonjwa. Je, huu ugonjwa unatibiwa? Je, wenye uzoefu na matukio kama haya naomba ushauri.

Leo kaomba msamaha na iko tayari kupokea adhabu yoyote ila nimtafutie simu nyingine tena ya tachi, ni kweli kua na simu ni muhimu kwake na mimi hususani ya simu kubwa, kwasababu sometime nasafiri nje ya nchi lazima nimpe maelekezo ya familia na maendeleo kupitia whatsapp, ukiondoa huu ushauri wa vijana wengi eti mpelekee moto, adhabu gani anastahili kupewa ili akomeshe hiyo tabia.
Unafuata wewe kupasuliwa
 
Mshughulikie mapema usinekuta katupa mtoto chooni
 
Back
Top Bottom