Mke wangu kapasua simu yake tena hii ni mara ya pili kisa hasira za kuchelewa kupokea simu zake

Adhabu iwe kujinunulia simu yake mwenyewe.

Kitu ulichokitolea jasho huwezi kukiharibu hovyo hovyo
Hahahaaa,

Nilishawahi kufanya hii kitu kwa wife, nilimnunulia Samsung A12, mtoto nawaondosha ikawa na crack ya kawaida tu.
Mwishowe yeye na shoga ake wakashauriana eti wauze na akae bila simu hivyo itanifanya nimnunulie simu nyingine.
Nimeuchuna zaidi ya miezi sita sijanunua wala kujitingisha kuzungumza kuhusu hilo, at the of her drama akaingia huko vikobani kwake na kujinunulia yeye mwenyewe Infinix Hot 10.
 
Wakwangu hana vikoba au kazi nyingine zaidi ya kulea watoto kupika na kupakua, sasa tatizo ndo hilo hasira hasira za kuharibu mali.
 
Hii ni mara ya pili huyu mwanamke anapasua simu yake kwasababu ya hasira na jaziba zinazo mshinda kuhimili akili zake, lakini anajutia baada ya kufanya hilo, bila shida kama mwana saikolojia najua huu ni ugonjwa. Je, huu ugonjwa unatibiwa? Je, wenye uzoefu na matukio kama haya naomba ushauri.

Leo kaomba msamaha na iko tayari kupokea adhabu yoyote ila nimtafutie simu nyingine tena ya tachi, ni kweli kua na simu ni muhimu kwake na mimi hususani ya simu kubwa, kwasababu sometime nasafiri nje ya nchi lazima nimpe maelekezo ya familia na maendeleo kupitia whatsapp, ukiondoa huu ushauri wa vijana wengi eti mpelekee moto, adhabu gani anastahili kupewa ili akomeshe hiyo tabia.
Mkalishe chini, assure her uko kwa ajili yake
 
Back
Top Bottom