Mke wangu kapasua simu yake tena hii ni mara ya pili kisa hasira za kuchelewa kupokea simu zake

Hii ni mara ya pili huyu mwanamke anapasua simu yake kwasbb ya hasira na jaziba zinazo mshida kuhimili akili zake, lakini anajutia baada ya kufanya hilo, bila shida kama mwana saikolojia najua hu ni ugonjwa. Je, huu ugonjwa unatibiwa? Je, wenye uzoefu na matukio kama haya naomba ushauri.

Leo kaomba msamaha na iko tayari kupokea adhabu yoyote ila ni mtafutie simu nyingine tena ya tachi, ni kweli kua na simu ni muhimu kwake na mimi hususani ya simu kubwa, kwasbb some time na safiri nje ya nchi lazima nimpe maelekezo ya familia na maendeleo kupitia what up, ukiondoa hu ushauri wa vijana wengi eti mpelekee moto, adhabu gani anastahili kupewa ili akomeshe hiyo tabia.
Nipe namba zake mkuu.
 
Oa mwingine wawe wanapeana mawazo namna bora ya kukupenda.
 
Hii ni mara ya pili huyu mwanamke anapasua simu yake kwasababu ya hasira na jaziba zinazo mshinda kuhimili akili zake, lakini anajutia baada ya kufanya hilo, bila shida kama mwana saikolojia najua huu ni ugonjwa. Je, huu ugonjwa unatibiwa? Je, wenye uzoefu na matukio kama haya naomba ushauri.

Leo kaomba msamaha na iko tayari kupokea adhabu yoyote ila nimtafutie simu nyingine tena ya tachi, ni kweli kua na simu ni muhimu kwake na mimi hususani ya simu kubwa, kwasababu sometime nasafiri nje ya nchi lazima nimpe maelekezo ya familia na maendeleo kupitia whatsapp, ukiondoa huu ushauri wa vijana wengi eti mpelekee moto, adhabu gani anastahili kupewa ili akomeshe hiyo tabia.
We HAMAS wa mchambawima unasafiri nje wapi au nje ya nyumba yako? Hata Somalia kwa wajahidina wenzako al shabab hujawahi fika.
 
Nakushauri kila wakati akiwa na furaha jaribu kumshauri namna ya kuzuia hasira yake.
Lakini pia be positive always.
Akiwa na hasira uwe mwepesi sana kusihi na kuomba awe katika utulivu.
Mengine karibu inbox tuyajenge zaidi: 0714080785
Nashukuru kwa mchango mzuri mkuu ubarikiwe.
 
We HAMAS wa mchambawima unasafiri nje wapi au nje ya nyumba yako? Hata Somalia kwa wajahidina wenzako al shabab hujawahi fika.
Mkuu acha hasira unijui sikujui focus katika mada, mambo ya Imani tupilia mbali kuna maisha nje ya hizo imani, plz plz jiheshimu uta heshimika.
 
Hii ni mara ya pili huyu mwanamke anapasua simu yake kwasababu ya hasira na jaziba zinazo mshinda kuhimili akili zake, lakini anajutia baada ya kufanya hilo, bila shida kama mwana saikolojia najua huu ni ugonjwa. Je, huu ugonjwa unatibiwa? Je, wenye uzoefu na matukio kama haya naomba ushauri.

Leo kaomba msamaha na iko tayari kupokea adhabu yoyote ila nimtafutie simu nyingine tena ya tachi, ni kweli kua na simu ni muhimu kwake na mimi hususani ya simu kubwa, kwasababu sometime nasafiri nje ya nchi lazima nimpe maelekezo ya familia na maendeleo kupitia whatsapp, ukiondoa huu ushauri wa vijana wengi eti mpelekee moto, adhabu gani anastahili kupewa ili akomeshe hiyo tabia.
huo ugonjwa utaisha polepole,ila kwa sasa mnunulie simu nyingine at the expanse ya kitu kingine,ili afeel uchungu,ama punguza bajeti ya chakula,nguo au kitu ambacho ni lazima atakifeel
 
Back
Top Bottom