young sood
Member
- Jun 16, 2015
- 45
- 2
sasa kama kipato ndo hivyo tena...unahitaji ushauri gani?
Sie waafrika tumezidi, kama ni watoto hata mbwa anao. Kaa na mkeo mwikubali hiyo hali muishi maisha ya furaha na amani. Katika unamwamini Allah kwa nini usiamini hicho kikombe kakupangia.
Gf gani asiyetaka helaUcioe ila kuwa na girlfriend wa inje ukpata mtoto bc inshaala!!!!!!
Hii sio issue serious kama unavyotaka iwe. Dunia siku zote huwakumbuka watu waliochangia kuifanya dunia kuwa sehemu salama zaidi kwa maisha. Kuzaa ni jambo la kawaida sana na mara nyingi ni kipaumbele kwa jamii za watu duni (maskini). Ndio maana utashangaa nchi kama za Scandinavia zinatoa motisha kwa raia wake ili wazae. Wao hawana "hamasa". Sisi tulio maskini kwa uduni wa fikra fahari ni kuwa na watoto hata kama uwezo hauruhusu.Majibu mepesi sana hayo kwa issue serious kama hii.
Nahtaj ushaur ndugu umri unakimbia