mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,750
- 7,851
Kill her quicklykwahy nimfanye nini shemeji yako ili ulizike?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Kill her quicklykwahy nimfanye nini shemeji yako ili ulizike?
baba na ww mwenza kimeumana nini huko mahom mana unavyonikazia utazani,mi ndie nilie sababisha au we ndie mtwasi, sema nijueAcha visingizio... huna jeuri ya kumpiga.. huna nguvu
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Mwanamke akifikia hali hiyo elewa kuwa hapati haki yake ipaswavyo.Mi ndio yule kijana wa hovyo
Ipo hivi tumetulia zetu kibalazani tunacheki TV baada ya mlo wa usiku, mara meseji titiip kwenye simu ya wife uzuri tulikuwa tumekaa jirani akachukua simu na kusoma ile kupiga jicho nakuta wife kaikimbiza.
Akajua sijamuona nikamwambia, tusome wote, akajibu, we zinakuhusu nini, halafu mbele ya watoto nikasema sawa, ila sio kwa ubaya au ni mchepuko, akanijibu kwa kejeli, mi ooh kumbe unataka kunipanda kichwani.
Nikazima tv na kuwaambia watoto mkalale, nikachukua simu nikaenda chumbani, bas akaja chumban na kuanza kuongea ooh ujue wewe unanifuatilia sana, nikamshika kwa jazba, nikamwambia angalia kauli zako, dah ni kama moto umetiwa petroli.
Akaja akanitia meno kwenye jicho kwa juu, ghafla damu, kibao kwenye kitanda, basi nikabaki kumuangalia coz sikuwa na cha kumfanya punde wakaja majiran, wakanicheki nimelowa dam, ajabu wife anasema nilikuwa najihami, wakati hata sijamfanya chochote wakuu nipo naugulia maumivu, hivi mtu kama huyu nimfanye nini?
NAKAZIA !inaelekea wewe ni gentleman fulani, tatizo mkeo anachukulia huu ugentleman kama udhaifu, ungemzibua vibao viwili tu to reset her brain kama huwezi kumpeleka kwao kwa muda,
Kwaiyo hapo tuseme amechezea faulo nne
Mimi siwezi kuwa lofa km wewe mkuubaba na ww mwenza kimeumana nini huko mahom mana unavyonikazia utazani,mi ndie nilie sababisha au we ndie mtwasi, sema nijue
Yeah sio adhabu nami sijamshauri amwadhibu either kwa kumpiga ngumi au kumchapa kwanini? Mwanamke hapigwi, kama kweli unampemda mumeo na umemzoea ule upweke wa kuwa mbali nae utakutesa tu. Na kwa wewe unaeona ni shangwe basi jua huo Uhuru ulikuwa ukiutafuta kitambo na hukuwa na jinsi ya kuupata ili utimize Mambo yako nje ya ndoa. So katika Hilo nitajua tu upo nami kwa mapenzi ya kweli au upo nami kama mashine ha kuzalia tu pale kwangu.Hivi kuambiwa nenda kwa wazazi wako ukapumzike ni adhabu? Mi naona kama shangwe vile
Shangazi bhanaMwanamke akifikia hali hiyo elewa kuwa hapati haki yake ipaswavyo.
Ni mke wa ndoa za kidini? Au wa kuokotana mkaamuwa kuishi nae tu?
haki ya kimsingi kama nini mana nimemfungulia biashala apate pesa hata akipata m5 kama faida sijawah kumwomba, na majukumu yote nayabeba mwenyewe zaid nimemwambia hela yako iwasaidie ndugu zako sasa haki gan nimpe, labda kwenye unyumba, coz niko busyMwanamke akifikia hali hiyo elewa kuwa hapati haki yake ipaswavyo.
Ni mke wa ndoa za kidini? Au wa kuokotana mkaamuwa kuishi nae tu?
Basi ujue tatizo limeanzia hapo,humchapi libolo ipasavyo kisa eti uko busy.haki ya kimsingi kama nini mana nimemfungulia biashala apate pesa hata akipata m5 kama faida sijawah kumwomba, na majukumu yote nayabeba mwenyewe zaid nimemwambia hela yako iwasaidie ndugu zako sasa haki gan nimpe, labda kwenye unyumba, coz niko busy
ni kweli sina pesa ila ni maarufu kupitia pesa nikizipataga hata bata hapa hom wanajua leo baba kazipata,Naona kabisa, hauna hela
kwahy mkuu kumbe nalo ni tatzBasi ujue tatizo limeanzia hapo,humchapi libolo ipasavyo kisa eti uko busy.
Haswaa,hilo ndio chanzo cha tatizo lenyewe.kwahy mkuu kumbe nalo ni tatz
maswali yangu ni mawili, la pili hujaligusia.haki ya kimsingi kama nini mana nimemfungulia biashala apate pesa hata akipata m5 kama faida sijawah kumwomba, na majukumu yote nayabeba mwenyewe zaid nimemwambia hela yako iwasaidie ndugu zako sasa haki gan nimpe, labda kwenye unyumba, coz niko busy
we jamaa mpole sana😂kwahy mkuu kumbe nalo ni tatz
Hayo ni mawazo.yako tu, kufanya upuuzi hata ndani ya ndoa mtu anafanya akiamua si lazima apewe uhuru wa kwenda kwao.Yeah sio adhabu nami sijamshauri amwadhibu either kwa kumpiga ngumi au kumchapa kwanini? Mwanamke hapigwi, kama kweli unampemda mumeo na umemzoea ule upweke wa kuwa mbali nae utakutesa tu. Na kwa wewe unaeona ni shangwe basi jua huo Uhuru ulikuwa ukiutafuta kitambo na hukuwa na jinsi ya kuupata ili utimize Mambo yako nje ya ndoa. So katika Hilo nitajua tu upo nami kwa mapenzi ya kweli au upo nami kama mashine ha kuzalia tu pale kwangu.