Mke wangu kachachamaa anataka tuachane!

Mke wangu kachachamaa anataka tuachane!

mpe talaka mkeo..aende zake kwa amani..ila bado siamini..ivi aya mambo yapo bado eti ee?..kua kikao kimeamua ivo na ww umelipokea kwa mikono miwili kabisa eti?..
ukewenza mzigo bana..mwache mwenzio awe na amani.
Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.

Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.

Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
 
fikiri kabla ya kutenda mkeo wa ndoa ndio mkeo hizo mila na desturi achana nazo si vizuri kumtunza shemeji yako ni sawa haswa kwa familia yake na si ngono
 
subiri na wewe hapo utakaporithiwa
si mnakimbilia kuolewa huku mijini bila kuchunguza kwamba unaolewa na kabila gani, ukoo gani!
Ndio maana wengine humu hujikuta wameolewa na walozi
mie kurithiwa aisee ni ngumu hata kama sijui kama wanafanya hivi ila nazijua haki zangu kama mtoto wa kike hakitaaribika kitu.raha zaidi siko tayari kuuuza utu wangu kwa kitu chochote nauthamini sana ubongo wangu hautaniangusha
 
Jiongeze kidogo na wewe! Hata kama kafa kwa ajali unajuaje kama hakuwa anaishi kwa matumaini? Mtu anaweza kuishi 15yrs na virusi vya ukimwi lakini akafa kwa ajali.

All in all outcome za kikao ni za kijinga kabisa especially kwa dunia ya sasa. Kwenye familia za kisasa licha ya mwanamke hata mali zake haziwahusu.

Hivi wasamabaa ndo bado wana akili hizi? Au unawasingizia tuu?
Acha kuongea maneno mbovu mbovu, ninyi ndio mnajifanya humu mjini mmestaarabika wakati mkienda huko makwenu mnatambikiwa.
Mimi nafuata mila za kwetu sasa kinawauma kitu gani?
 
Kwani nani alikwambia bila yeye dunia haikwendei sawaTegelezeni;6197986]Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.

Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.

Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...[/QUOTE]
 
Alikuwa anajua sana maana hata kwetu shangazi na baadhi ya dada zangu waliofiwa na waume zao wamerithiwa.
Anajua kila kitu bali anajitia hamnazo

Km anajua hamna tatizo vuta hicho kifaa cha marehemu ufaidi ma utamu! lkn pima kwanza. Teh! teh! teh!
 
mpe talaka mkeo..aende zake kwa amani..ila bado siamini..ivi aya mambo yapo bado eti ee?..kua kikao kimeamua ivo na ww umelipokea kwa mikono miwili kabisa eti?..
ukewenza mzigo bana..mwache mwenzio awe na amani.
Sasa ndio ushauri gani huu!
 
mpe talaka mkeo..aende zake kwa amani..ila bado siamini..ivi aya mambo yapo bado eti ee?..kua kikao kimeamua ivo na ww umelipokea kwa mikono miwili kabisa eti?..
Ukewenza mzigo bana..mwache mwenzio awe na amani.
mke mwenzangu mambo najitambulisha mimi ni mke wa pili kutoka mwisho wa kuachika na KakaKiiza hivi wewe ni mke wa ngapi vile
 
Last edited by a moderator:
Wewe acha kashfa nakuomba tafadhali
Wanwake wakusugua wapo tele mjini, kwa nini nimkimbilie mjane!
Ninatakiwa na ukoo nilee na kuitunza familia ya marehemu kaka yangu na si vinginevyo
Pokea ushauri wewe.acha ubishi.Katika mila zote unazozijua, hii ndiyo umeona inafaa kutekeleza? Ushauri mzuri ni kumuacha mkeo, aende kwa amani.hapo sio mahabusu mpaka uendelee kumkatalia.Yaani mpaka umsugue ndiyo aanze kupokea msaada.I wish siku moja huyo kaka yako akutokee, akute uko juu ya mkewe, ndiyo ujue na huduma ya 0713 utaitoaje siku hiyo.
 
Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.

Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.

Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
Yaani kwa hilo, acha achachamae tu... Mbona huVai magome ya miti hadi leo, kama kweli unafuata mila na desturi? Mbona huvai yale majani/madude ya kuficha hapo mbeleni tu kama kweli unafuata mila na desturi?.. Mambo mengine ni ujinga kuyafuata... YAANI UMWAMBIE KABISA HUYO MKEO ASIACHE KUCHACHAMAA MAANA MAZINGIRA TULIYO NAYO SASA HAYARUHUSU MAMBO HAYO.... NA UMWAMBIE KAMA WEWE UNALING'ANG'ANIA HILO basi mimi nimesema akadai talaka mahakamani.... na ukikata rufaa utashindwa kama walivyoshindwa wale wa Lema
 
huyo kaka yangu hakuwa na mali wala nini, mimi ndio naonekana kwetu kuwa nina nafuu hivyo nimetakiwa kumrithi mke wa kaka yangu ili nimsaidie kulea watoto na kumtunza huyo mjane

nadhani unaweza kumlea na watoto bila kumfanya mkeo,huo ndo ustaarabu.kinyume na hapo ni tamaa zako 2
 
Yaani kwa hilo, acha achachamae tu... Mbona huVai magome ya miti hadi leo, kama kweli unafuata mila na desturi? Mbona huvai yale majani/madude ya kuficha hapo mbeleni tu kama kweli unafuata mila na desturi?.. Mambo mengine ni ujinga kuyafuata... YAANI UMWAMBIE KABISA HUYO MKEO ASIACHE KUCHACHAMAA MAANA MAZINGIRA TULIYO NAYO SASA HAYARUHUSU MAMBO HAYO.... NA UMWAMBIE KAMA WEWE UNALING'ANG'ANIA HILO basi mimi nimesema akadai talaka mahakamani.... na ukikata rufaa utashindwa kama walivyoshindwa wale wa Lema
Acha jazba, mke wangu hakuhusu kabisa
 
Hatatanga bado halijaishaaaa munaanza kugawana mali zammewanguooo nikiuliza, imekuwaje, jibunikwamba mnagawana mali zamwanenu mbona mmesahau yakuwamalihizohasaaa nizawatotonamsimamizinimimimamayaooo ambaeunataka kunilisi {chezea mali?} mtuanaweza ua
 
nadhani unaweza kumlea na watoto bila kumfanya mkeo,huo ndo ustaarabu.kinyume na hapo ni tamaa zako 2
Kwa mila zetu inatakiwa awe mkeo kabisa na watoto mzae ili kuendeleza ukoo
Mke wa kaka yangu aliolewa kw amila na desturi za kwetu na anajua kila kitu na ndio maana yeye alipoulizwa kwamba angependa arithiwe na nani akanitaja mimi na ndipo kikao kikanipitisha rasmi.
Huyu mke wangu tu ndio anaweka kauzibe lakini kila kitu kilienda sawa kabisa katika kikao kile cha ukoo
 
hapana..mimi si mke wa mtalaka wako..siawah ata kukutana nae popote...ni uchokozi wa Erickb52 tu bs
mke mwenzangu mambo najitambulisha mimi ni mke wa pili kutoka mwisho wa kuachika na KakaKiiza hivi wewe ni mke wa ngapi vile
 
Last edited by a moderator:
Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.

Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.

Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...

Heeeeee haya tena kumekucha khaaa
 
Back
Top Bottom