Miss-Thang
JF-Expert Member
- Mar 4, 2009
- 364
- 244
Wee hukumpemda hata huyo mkeo, ulilipenda shepu tuu, dah, inatia huruma sana.Salaam wanajamvi,
Nimeishi kwenye ndoa miaka mitano sasa changamoto kubwa mke wangu amebadilika sana sio yule wa enzi zile.
Alikuwa mnene wastani, na kila kiungo cha mwili wake kilionekana kipo vizuri hapa namaanisha shape lakini sasa amepoteza muonekano wake amenenepa hovyo tumbo limekua kubwa kuliko makalio.
Kifupi amepoteza mvuto mbele ya macho yangu, nimejaribu kumsisitiza na kumueleza madhara ya unene amejitahidi lakini hapungui! Yaani shapeless sina hamu nae tena na ana mtoto wangu.
Wana JF nisaidieni kwa ushauri kijana mwenzenu.
Marahaba...Shikamoo Doctor
Suluhisho ni kumpa stress za kutosha,anza kurudi nyumbani saa sita usiku na ukifika home we chati jamii forums mpaka saa tisa usiku,kila mboga mgombeze ina chumvi nyingi,akiandaa breakfast mwambie unawahi kazini,zusha safari za kikazi kila wiki,then mkatalie katakata asiguse simu yako,baada ya miezi miwili njoo utupe mrejesho
TATIANA ur warmly welcome[emoji12]Ngoja niibe kitu hapa
Kuna siku nilikua naangalia ka-tv channel ka nje fashion Tv nilinote kitu, Baada ya kujifungua mwanamke anatakiwa asile sana vitu vya kujaza tumbo sana kwa kula vitu vyenye nutrients hitajika ambavyo huwa ni quantityless (even hata baada ya abortion) hii ni kwa sababu baada ya kujifungua tumbo linakua limelegea so ukiendelea kujaza tumbo lazima libaki kubwa kama kipindi cha ujauzito
Niliverify hili kwa kuangalia asilimia kubwa ya akina mama wa kijijini wasio vizuri kiuchumi baada ya kujifungua hurudia hali yao ya kawaida, najua utaelewa mwenyewe ni kwa sababu gani.
Break the like button basi[emoji4]
One month is not enough, losing weight is not as easy as you think. For her to engage in the weight loss journey, she must first and foremost be willing to do so and not feel that she is being pushed to do it. Giving her an ultimatum is so very cruel if you ask me, she might just give up before she even starts. Her husband should slowly convince her to see a dietician and they can take it from there.Tatizo la wanawake wengi hujisahau baada ya kuolewa, tumbo uzembe ni uvivu tu na ujinga. Mpe muda wa kupungua, kama hajapungua within a month, mkimbie kwani utakuwa unatunza tembo mtoto.
For instance huna housegirl, au uliye naye hayuko reliable, unawezaje kutoka out na ku have a good time wakati watoto hawapo kwenye mazingira salama? Unarudi nyumbani unakuta watoto wamepata tatizo while you were out having a good time, you will never be able to live with yourself! We will go out with the kidz period or we drop them off at my or your mom's then we can party till we drop.Mwingine nae juzi nimemsikia anasema "yani nitoke out niwaache wanangu nyumbani" mmh kwa mitazamo hii ina maana watoto wanakujaga kuharibu, make ukakuta hapo baada ya kuzaa ndo madira kila siku, mwili ndo huo tumbo mgongo tako vimeshikana, outing na mme hakuna ha ha ha I want to be forever young kwakweli
Tatizo sio mafuta amini usiamini, tatizo ni sukari na starches ambavyo ukila ina stimulate production ya hormone inayoitwa insulin ambayo kazi yake ni kubadilisha glucose into fats for storage in the body. Sasa fat zikisha kuwa stored halafu na mtu activities ni sifuri basi ni kunenepeana tu kwa kwenda mbele. Ukiweza ku- cut out the sugars and the starches, kunywa maji kwa wingi na moderate exercises like walking, you'll get your teenage body back. Angalizo: IT'S NOT EASY BUT IT CAN BE DONE!wakat unaenda mazoezini asubuhi, usisahau kwenda nae, na jioni pia ivo ivo halafu muhimize aisependelee sana vyakula vya mafuta.
mboga za majani sana na matunda kwa wingi
Dada yupo ndugu wapo hatoki basi watoto wanakuja kuharibu mapenzi ya wazaziFor instance huna housegirl, au uliye naye hayuko reliable, unawezaje kutoka out na ku have a good time wakati watoto hawapo kwenye mazingira salama? Unarudi nyumbani unakuta watoto wamepata tatizo while you were out having a good time, you will never be able to live with yourself! We will go out with the kidz period or we drop them off at my or your mom's then we can party till we drop.
One month is not enough, losing weight is not as easy as you think. For her to engage in the weight loss journey, she must first and foremost be willing to do so and not feel that she is being pushed to do it. Giving her an ultimatum is so very cruel if you ask me, she might just give up before she even starts. Her husband should slowly convince her to see a dietician and they can take it from there.
I hear you, but how does a person allow herself to gain so much damn weight like they don't care about being loved anymore? A woman with a lazy belly should NOT be touched by any man, that's just insane.
You are too judgemental, i'd hate to end up in your court[emoji23] [emoji23]. There are too many damn reasons why someone may stop caring for their looks and become huge. The worst of them all is depression, most depressed people turn to food for comfort especially if they can afford it before they know it, things have gotten out of hands. Happy people care about their looks and what everyone thinks about them, so they exercise and watch what they eat. So this dude could try making his wife happy(its the little things in life that bring true happiness, he can start by telling her that he loves her and kiss her goodbye every morning before leaving fir work, i know i'd love that[emoji4]) then she may just give a damn about how she looks and make the effort to lose the 'lazy belly', as you put it.[emoji23]I hear you, but how does a person allow herself to gain so much damn weight like they don't care about being loved anymore? A woman with a lazy belly should NOT be touched by any man, that's just insane.
Ushauri mzuriSuluhisho ni kumpa stress za kutosha,anza kurudi nyumbani saa sita usiku na ukifika home we chati jamii forums mpaka saa tisa usiku,kila mboga mgombeze ina chumvi nyingi,akiandaa breakfast mwambie unawahi kazini,zusha safari za kikazi kila wiki,then mkatalie katakata asiguse simu yako,baada ya miezi miwili njoo utupe mrejesho