Mke wangu kabadilika kimuonekano

Kuzaa siyo hoja,usipotoshe umma please!!.......Mbona wanawake kibao kama vile akina Zamaradi,Zarie,Angelina jolie na wengine wamezaa watoto wengi tu ila wana shape kali???........Hoja hapa ni kula ovyo,uvivu wa kufanya mazoezi na kutokujipenda!
Inategemea na mwili kama ww kibonge ni kibonge tu ata ujinyime kula vp
 
Hiyo ni mifano michache nimetoa,sina muda wala space ya kutaja wote!......Ninachomaanisha ni kuwa suala la mwanamke kuwa na figure mbaya baada ya kuzaa siyo suala la nature bali ni suala la kujitakia!
Ngoja niibe kitu hapa

Kuna siku nilikua naangalia ka-tv channel ka nje fashion Tv nilinote kitu, Baada ya kujifungua mwanamke anatakiwa asile sana vitu vya kujaza tumbo sana kwa kula vitu vyenye nutrients hitajika ambavyo huwa ni quantityless (even hata baada ya abortion) hii ni kwa sababu baada ya kujifungua tumbo linakua limelegea so ukiendelea kujaza tumbo lazima libaki kubwa kama kipindi cha ujauzito

Niliverify hili kwa kuangalia asilimia kubwa ya akina mama wa kijijini wasio vizuri kiuchumi baada ya kujifungua hurudia hali yao ya kawaida, najua utaelewa mwenyewe ni kwa sababu gani.

Break the like button basi[emoji4]
 


Tatizo la wanawake wengi hujisahau baada ya kuolewa, tumbo uzembe ni uvivu tu na ujinga. Mpe muda wa kupungua, kama hajapungua within a month, mkimbie kwani utakuwa unatunza tembo mtoto.
 
Sikubaliani na ww kabisa,huu ni uwongo kabisa.
 
mbona unalia lia wakati tatizo ni dogo tu mkuu labda kama unataka aendelee kua mnene.

Mwandalie baje ya kuhudhuria gym asubui na jion na awe na diet maalum, mbona utampenda mwenyewe
 
hapa zaidi unamuumiza kisaikolojia..Utamsababishia stress na zaidi akapata obesity.......
 
Kama ulikuwa unaacha elfu 20 ya chakula anza kuacha elfu 5.pia kwa siku anywe lita 5 za maji na zaidi
 
Pole sana kijana, hauko peke yako na mimi yalinipata hayo, tofauti yakonamimini kwamba sisi tuna watoto 5, wengine wanakukaribia wewe. Ilipoanza kutokea nilikuwa nikifikiria wakati wa uchumba wetu nilivyo kuwa naomba kwa mungu huyu binti asije kubadilisha mawazo akachukuliwana kidume mwingine, basi nikawa najirudi mwenyewe na kumhurumia mwenzangu. Mpaka sasa tupo wote na kweli tumbo ni kumbwa mno, lakini sina jinsi na familia yetu ina amani sana. usimwache huyo.
 
pamoja na ubaya unaouona kwake wenzako wanamtamani hivyo hivyo na tumbo lake.. endelea kumpenda mkeo ni mama sasa hawezi kuwa kama binti milele
 
Kuwa shapeless si ishu,ila kama afya yake ni life threatening,hatua madhubuti zichukuliwe,ikiwemo mazoezi ya kupunguza uzito na diet nzuri.Otherwise,learn to love her imperfection.
 
Tatizo la wanawake wengi hujisahau baada ya kuolewa, tumbo uzembe ni uvivu tu na ujinga. Mpe muda wa kupungua, kama hajapungua within a month, mkimbie kwani utakuwa unatunza tembo mtoto.
And here we go. Mafurushi mengine.
 
[emoji121]
WEKA PICHA KWANZA MKUU.
 
feitty u are warmly welcome thwitie[emoji4]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…