Mke wangu kabadilika kimuonekano


Umeona eeeeh?

Thank you
 
Ujue we ndo tatizo na sio mke wanaume wengi mnashindwa kujua kuwa zoezi pekee la mke kutonenepa hovyo hovyo ni kufika kileleni kila mnapo duh
Usipohakikisha hilo biological mechanisms za fat deposition zitakuwa nyingi mno hivyo humsababishia kunenepeana bila mpangilio ukiwa unamkuna mpaka orgasms kama 2-3au hata 4 lzm nguvu inayotoka kumfanya afike kilindini mafuta yachomwe moto hivyo unamfanya amentain figure
 
Mwambie atoe njia ya uzazi wa mpango kama aliweka kwa Siri..tofauti na hapo mwambie asile kitimoto kupita kiasi..
 

Yeah true
 
No busara within......
 
Mbona rahisi tu; pale 6 kwa 6 mkiwa kwenye tendo mpe style ngumu kila siku.

Hayo ni mazoezi tosha kabisa
Zoezi la kitandani ni starehe bana sidhani kama itasaidia
 
Huo ni unene tu ushamchoka! Vp akipata ulemavu wa kiungo hata kimoja? Nahisi utamtengea chumba chake
Hapana hatamtenga atamkimbia kabisa ahame na mji na abadilishe namba za cmu
 
Hiyo ni mifano michache nimetoa,sina muda wala space ya kutaja wote!......Ninachomaanisha ni kuwa suala la mwanamke kuwa na figure mbaya baada ya kuzaa siyo suala la nature bali ni suala la kujitakia!
 
Apache ubwabwa , vidonge vya majira au masindano kwa ujumla awe na nidhamu ya Misosi na mazoezi. Hata mimi mwanaume bongiso hapana, minyama inaninginia hapana.
 
Duh! Hivi unampenda mke wako kweli?! Minor kama hii unalia hivyo mbona ni rahisi sana kumfanya mwenzio awe vile unataka, kwa jinsi ulivyoandika ina walakini! Ulishampenda mfanyie councelling ajue na kuona madhara ya huo unene, mpeleke gym au mfanyishe mazoezi home, acheck diet yake iko vipi ikibidi abadili ulaji, mwisho ni hizi njia za uzazi wa mpango kama anatumia yaweza kuwa tatizo pia, calender method is the best. Jitahidi uwe positive nae maana uko kama umekata tamaa, msaidie zaidi atakuwa vile unavyotaka.
 
duu!
pole mkuu, kuna wadada wengine hata kabla ya kuolewa wanakuwa tukunyema material, sasa akishajifungua ndio komesha,,
I thank God mke wangu alivojifungua tu akarudia hali yake, na utadhan hajawahi zalishwa
 
Mu encourage kwenye masuala ya mazoezi na kufanya diet.nawajua wadada vipisi ambao kwasasa wameslim sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…