kitambiflat
Senior Member
- Oct 16, 2015
- 163
- 228
Salaam wanajamvi,
Nimeishi kwenye ndoa miaka mitano sasa changamoto kubwa mke wangu amebadilika sana sio yule wa enzi zile.
Alikuwa mnene wastani, na kila kiungo cha mwili wake kilionekana kipo vizuri hapa namaanisha shape lakini sasa amepoteza muonekano wake amenenepa hovyo tumbo limekua kubwa kuliko makalio.
Kifupi amepoteza mvuto mbele ya macho yangu, nimejaribu kumsisitiza na kumueleza madhara ya unene amejitahidi lakini hapungui! Yaani shapeless sina hamu nae tena na ana mtoto wangu.
Wana JF nisaidieni kwa ushauri kijana mwenzenu.