Ni Pm namba yake ya simu ili nimwambie ni kwa namna gani unataka awe anakutamkia kwa maneno!ni kweli mkuu,ila nilitamani sana hata siku moja anitamkie kwa maneno
Mke wako anatabia za kimalaya. Mle jicho
Shukuru Mungu wewe mkeo anatumia body language kuna wengine wananyimwa unyumba wanaishia kubaka wake zao.Kwa mtazamo wangu mkeo ni the best wife kama alivyosema mdau mmoja hapo juu ukimuelewa inatosha.Ukijiuliza sana utaharibu sasa.Ukishakuwa mwanandoa Funga chumba chako tembea na funguo yaani umekiacha wazi hadi huku jf tunachungulia ndani
Asa si umwambie mwenyewe jamani???Sisi tutakusaidiaje sasa??ni kweli mkuu,ila nilitamani sana hata siku moja anitamkie kwa maneno
Ushauri wa hovyo, ni sawa kabisa mkeo kukutamanisha hadi ukajuwa na mkabanjuana. Hongera huyo mkeo na kama unamtamani basi wa nje hawatakutamanisha hata wakija bila ch.pi.Mke wako anatabia za kimalaya. Mle jicho
TUnza siri za ndani, hukwenda mafundisho ya ndoa?? hukufundwa kuishi na mke?? huna hata haya...
Ndoa ni sacred and privacy is the way
Mbaff
Mnafungua shule lini???
Mwizi tu uyo!
Teh teh teh tehmume wangu leo nataka kuchapwa na abdallah kichwa waz