Mke wangu hunitega na kujilengesha

Mke wangu hunitega na kujilengesha

Mkuu wanawake huwa tu waoga kutamka japo ! But it's a good thing unamuelewa! ! Ila pia ninachokiona mnaishi ki mume na mke zaidi (baba na mama ) na sio kirafiki

Kama unaweza mtengenezee maisha ya urafiki hata utani wa kucheza akuzoee kirafiki atatamka

nilishajaribu kutengeneza mazingira hayo na hata kuongea nae lakini wapi,ts years now
 
Hahaha duh! You just can't make this stuff up. Wewe ukitaka huwa unasema, bro?
 
Ongea naye tena mwambie mke wangu ukiniambia, "Mume wangu leo nina hamu ya kuto...wa" huwa unasikia furaha sana na mwili wote unakusisimka hadi kende zako zinadinda.

nilishajaribu kutengeneza mazingira hayo na hata kuongea nae lakini wapi,ts years now
 
Mwanamke safi sana huyo anayajua majukumu yake tatizo no we we ambaye huna maarifa ya kumuandaa ungekuwa unamaarifa ya kumuandaa mngefurahia Maisha ya ndoa ila nahisi kwa mtazamo huo huwa mnabakana
 
Muandae mke wako kila Mara kwa maneno ya upendo,kumpapasa sehemu ambazo atajisikia vizuri,mjali na kumthamini utaona raha ya Maisha sio ukishaona dalili unadandia kama mwendesha baiskeli
 
Shukuru Mungu wewe mkeo anatumia body language kuna wengine wananyimwa unyumba wanaishia kubaka wake zao.Kwa mtazamo wangu mkeo ni the best wife kama alivyosema mdau mmoja hapo juu ukimuelewa inatosha.Ukijiuliza sana utaharibu sasa.Ukishakuwa mwanandoa Funga chumba chako tembea na funguo yaani umekiacha wazi hadi huku jf tunachungulia ndani
 
wadau naamini mko poa,tangu uchumba,ndoa na hadi sasa ni miaka kadhaa na watoto juu,waifu hajawai kuniomba unyumba kwa maneno.huwa ananitega na kujilengesha kiasi kwamba mi ndo inabidi nitambue kuwa waifu ananihitaji.yaani anaweza kunivalia kimtego flani hii,au kukaa hivi au vile ili mradi tu kutengeneza mazingira ya mimi kutambua ananihitaji.

hivi wanamme wenzangu wenye wake huwa nanyi pia mnakutana na hali hii?je ni kawaida bila mwenza wako kukuomba kwa maneno?

TUnza siri za ndani, hukwenda mafundisho ya ndoa?? hukufundwa kuishi na mke?? huna hata haya...

Ndoa ni sacred and privacy is the way

Mbaff
 
Back
Top Bottom