Mke wangu hunitega na kujilengesha

Mke wangu hunitega na kujilengesha

Shukuru Mungu wewe mkeo anatumia body language kuna wengine wananyimwa unyumba wanaishia kubaka wake zao.Kwa mtazamo wangu mkeo ni the best wife kama alivyosema mdau mmoja hapo juu ukimuelewa inatosha.Ukijiuliza sana utaharibu sasa.Ukishakuwa mwanandoa Funga chumba chako tembea na funguo yaani umekiacha wazi hadi huku jf tunachungulia ndani

thanx mkuu,nimekusoma executivesister
 
Ila kaka huyo mzuri,inaonekana wazungu wake wapo mbali(nyegezi),kwahy hata kuchepuka kwake itakuwa ngumu!hongera bro
 
Ila kaka huyo mzuri,inaonekana wazungu wake wapo mbali(nyegezi),kwahy hata kuchepuka kwake itakuwa ngumu!hongera bro

asante sana mkuu ngende.ila dah kuchepuka kitu kingine,kina sababu nyingi sana
 
Ndorrroooobo wewe

Body language (lugha ya mwili) unatakiwa kusoma alama za nyakati sio kusikiliza maneno kama maneno wewe unayazungumzia mimi nafanya matendo.
Jama kapata mke bombaa mwenye kujua thamani ya uanamke wake.

bora umenisaidia mkuu,manake watu wa aina ya kwamtoro wako wengi
 
Huyo ndo anafaa
Wakati kakuambia anataka kuna lengo moja tu la kukufikishia taarifa.
Kufanya hivyo anafikisha taarifa pamoja na kusupply the necessary reinforcements(hamasa) za wewe kula
 
mambo ya victoria secret, kuvaa kimtego ha ha! mke wako mtambo, angalau anahekima ya kuinvest hata kwnye kanguo ka kumtega mume wake na ukategeka kweli,kuna wanawake wengne hata kanguo ka mtego hawana...angalau nyie hadi mna watoto ila mambo yanaonekana shwari,.. be happy with what you have, kuna wengine hawana kabisaa, mke mkavuuu na hata anavyoombwa unaweza usitake kabisa
 
thanx viva89
 
Huyo ndo anafaa
Wakati kakuambia anataka kuna lengo moja tu la kukufikishia taarifa.
Kufanya hivyo anafikisha taarifa pamoja na kusupply the necessary reinforcements(hamasa) za wewe kula

nakubaliana na wewe mkuu,
 
Wanaume balaa kwani kosa gani mtu kutaka kitu chake kwa style?? Yaelekea wewe hujui kumuandaa mkeo kabla kaxi yako kupiga mitama tu. Huko ni kubaka!!!

I say umenifanya nicheke! Mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi
 
nadhani wewe ndio jinga kabisa!! Kwani mtoa mada mnafahamiana wapi? He has just remained anonymous hivyo hakuna siri yeyote iliojulikana hapo. Acha kukariri kipumbavu na kuropoka ili tu na wewe uonekane umepost!!

Anayeweza kukaa mbele ya screen ya laptop na kuandika vya chumbani kwake hiyo itakuwa ndiyo tabia yake, akikutana na rafiki zake anaanza kuyamwaga.

Janjaweed yuko sahihi kwa hili.
 
aaah kaka hiyo ndo ilivyo kwa kuwa hawana confidence ya kuongea bt baadh wanaweza kuongea kulingana na mazingra aliokulia
 
Back
Top Bottom