Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,245
- 71,870
Acha kwanza apate stimu za joto na kumbato lako then ndo umtafute uongee nae kwa mahaba mazito huku ukimwangalia kwa jicho la kubembeleza huku ukimshika shika mikono..yani iwe kama ndo unamtongoza..mwambie nakupenda mke wangu nimekumiss sanaaa yani napata tabu sanaa,then muombe mtoke hata nje tuu ya ukuta wa kwao hapo unambanania ukutani unambusu na kumshika shika baada ya hapo kesho au usiku huo huo mtaanza upya. Msamaha tayari sio wote wanaopenda hela mpe mapenzi tuu. Ww itakua ulimmistreat kwny suala la upendo juu yake.