PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,575
- 9,110
HahahaKawaida ilivyo muombe mungu aliyemuumba aulainishe moyo wake aweze kurudi akutambue kama wewe mumewe....!
Kama kashindwa kukusamehe basi hata ibada zake hazina malipo yoyote)Kwanini asisamehe ikiwa mwenyezi mungu anasamehe viumbe wake?
Kila mwanadamu ni mkoseaji ila mbora niyule mwenye kukubali kosa akaomba msamaha