Mke wangu hataki kufanya tendo la ndoa

mheshimiwa Kitalolo, kama yoote unayosema ni kweli basi mkeo mgonjwa, anatakiwa kumuona mtaalamu wa magonjwa ya wanawake
 
Mh! namm nimeanza kushtukia! huu ni urongo sasa, kama ushauri wa kwenda kwa dr. unsasema hataafiki (mashaka) kumuandaa unamuandaa. kati ya ushauri woooooote wa wadau hm ndani hakuna hata mmoja ulioahidi kuufanyia kazi kwa kuona haukuffai! unataka tukuambieje, au lengo ni kuanzisha mjadala tuuuu usio maana!!!! Jaribu hv...
1. Nenda kwa Dr. kama haiwezekani kwenda....
2. Labda hujui kufanya mapenzi unajua ngono tu (jifunze) kama haiwezekani....
3. Inawezekana unataka kumla TIGO Mkeo! kama si kweli....
4. Acha kumfanya mkeo, PIGA PUNYETO, Kama haiwezekani.....
5. Labda una mpango wa kuachana naye, OA PUNDA.

TENA INAWEZEKANA HAUNA MKE! AU HAKUPENDI, UNALETA MACHEJO TUUUU!

Hii noma sasa. Kwa hiyo PUNDA ndio 'watatoshana'?
 
Wanajamii naombeni ushauri kwanza najua kabisa kwamba mke wangu sio mpenzi wa tendo la ndoa kama mimi.

.......

Sasa jamani nifanyeje na mimi bado nampenda mke wangu na ninahitaji kula tunda?

...anza kwanza kwa kumheshimu, kumsikiliza, kumpenda, kumuonea huruma, kumjali, kumthamini, akisharidhika na hayo, mengine yote yatapita bila kulazimisha.
 
ha ha ha haaaaaaaaa. Hii ni soo naona unapenda kufurahisha wana JF. Lakini kama una tatizo hilo kuna mambo matatu:
kwanza humwandai mkeo ili kuweza kufanya sex. nenda kote mzee hata mgodini papasa na ulimi kaka.
pili yawezekana wife wako hajawahi kufikishwa na wewe na amekuwa akiona kalaha kukupa kwani hahisi chochote. kama ndvyo hakikisha unamwandaa mkeo kisawasawa
tatu yawezekana kweli unamtambo wa gongo, nenda kwa daktari upime.
 
Hii noma sasa. Kwa hiyo PUNDA ndio 'watatoshana'?

teh teh! yeye amekaa kujishedua oooh! mandingo yangu kubwa...oooh namzidi uwezo, hv mwanaume unakaa kujishebedua mbl ya wanawake na wanaume mandingo yako? na kila ushauri anaukana, BASI AOE PUNDA ndy watatoshana! au unasemaje mkuu?
 
Tusikimbilie kusema kwamba hamuandai mkewe, umesema mkeo hata hakuchokozi mpaka umuanze wewe! na mkifanya hajiskii kufanya! na mkimaliza unamtoa damu! tena wewe mandingo yako kubwa mno (nna mashaka! kwani wakati mnaanzana mandingo yako ilikuwa bado haijakua?) hilo la mpingo mkubwa sikubaliani nalo.....labda kama una kilema(yaani una kilema cha uume ni mkubwa sana). Uwezekanao mkubwa katika hili ni matatizo kwa mkeo, labda ana maambukizi yanayofanya uke kukauka au kuwa na vidonda vidogovidogo sana, na pia kumuondolea hamu ya yeye kufanya tendo la ndoa. Kwa ushauri wangu nendeni mkamuone doctor, na hii thread muihamishie kule chini kwa madoctor, mtapata msaada wa kitaalamu, HUKU KUNA WALIMU WENGI WA KUFANYA NGONO WAKATI WAKE ZAO WAMESHAWAKIMBIA! Pole sana muzee.
Bwa-ha-ha-ha-ha-ha-ha-ha
 
Ile kitu ni elastic bana hamna cha ndude kubwa wala nini. Mtoto anapita seze hicho?

ndiyo mtoto anapita lkn kumbuka mtoto kupita hapo ni baada ya homoni flani kuzalishwa mwilini kwa 'mama' mtoto! kajikumbushie Biology 'kiduchu'

kama mama hapendi kuliwa tunda tena duh, kazi ipo! ongea nae tu! labda na wewe unafanya ndio 'chakula' unataka kula mara 3 kwa siku!

Ila ongea nae fresh tu atakuelewa!
 
hii ya mtoto kutoka mbona haileti? kwa maana kuna tofauti kubwa kati ya kiingiacho na kitokacho. kitokacho kinasukumwa na mwanamama na kiingiacho
kinasukumwa na mwanababa. mpoo lol
 
Wanajamii naombeni ushauri kwanza najua kabisa kwamba mke wangu sio mpenzi wa tendo la ndoa kama mimi.

It is 99% unlikely kwamba kuna kiumbe kisichopenda ile zawadi toka kwa mungu

Mara nyingi nimekuwa mimi ndio mwanzilishi wa kuomba kwamba nahitaji au vinginevyo imefikia mahali naona kama namlazimisha na anafanya kama vile ni laizima.

Pili naona kama maungo yangu yanamzidi uwezo yaani nimekuwa nikifanya kwa utaratibu bila kufanya stailli mbalimbali ili nisimuumize lakini inavyoonekana ni kwamba anapata maumivu sana nikimuuliza huwa anaogopa kusema lakini pia amekuwa akitokwa na damu mwakati wa tendo la ndoa, hivyo naona kuwa labda pngine ni kutokana na kiungo kikubwa Mungu alichonijaalia.

Kaka, nunua vitabu ujifunze zaidi kuhusu maumbile ya mwanaume na mwanamke, kumbuka kwamba wanawake hujifungua na vihyo hiyo ndito iko elastic kwahiyo kusema inaumia kutokana na size yako labda kama unafakamia cervix ya mtoto wa watu which is highly unlikely kama mnafanya taratibu

Sasa jamani nifanyeje na mimi bado nampenda mke wangu na ninahitaji kula tunda?


  • Nkushauri nenda kamuone daktari mtaalama wa masuala ya fertility jinsia na mshauri nasaha mzuri
  • improve your communication
  • kuna wakati pia wanawake wanapata ungonjwa wa maumivu wakati wa tendo (nimesahau jina), mpeleke hospitali akachekiwe
  • pia wifey anaweza kuwa na msongo wa mawazo
  • kama hali hii imeanza siku hizi za karibuni inawezekana pia amekuchoka kabisa na intimacy kwishnehi che!! au labda humfikii aliyekutangulia
 
Nimeistukia mapema hadithi yake ya kutunga na majisifu kibao! Ati mkewe ana aibu hadi anaogopa kwenda kununua pedi, si uongo huo? Ina maana kabla hajamuoa huyo dada alikuwa hatumii pedi, au alikuwa anatumia nini kuogopa aibu? Mwongo tu!

matambla, akifua anaanika chini ya kitanda.
 
...ee bwanaaa eeeh, kuna siku nilikuwa Mikumi national park, nafanya utalii wa ndani... kuna guide mmoja wa kike alitusimulia kuhusu mfanyakazi mmoja wa national park...alikuwa na mtaimbo kama tembo! Akifanya mavituz na kimwana lazima aharishe.... Hakuna dada anayekaa naye, kila akipata mpya anaanza!

labda na jamaa yupo hivo...watu kama hawa hawana ushauri hahaha
 
Kwa sheria za wenzetu wewe unabaka mke ila kwa mila za kiafrika tendo ni lazima atoe.Swali kaka kwani hukupima oil kabla ya kuoa ?
 
...ee bwanaaa eeeh, kuna siku nilikuwa Mikumi national park, nafanya utalii wa ndani... kuna guide mmoja wa kike alitusimulia kuhusu mfanyakazi mmoja wa national park...alikuwa na mtaimbo kama tembo! Akifanya mavituz na kimwana lazima aharishe.... Hakuna dada anayekaa naye, kila akipata mpya anaanza!

labda na jamaa yupo hivo...watu kama hawa hawana ushauri hahaha

Sex is art, sex is enjoyment. Kama inafikia hatua ya kuharisha mbona noma? Nadhani wapo hata wanawake waliojaaliwa, probably they were meant for them!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom