Mke wangu hataki kufanya tendo la ndoa

For what i can see,mkeo anakua anakataa just because kila mnapofanya anaumia.kutatua taizo nadhan njia zifuatazo zinaweza zikasaidia na yeye awe ana enjoy tendo la ndoa
1.Muandae vya kutosha kabla hamjaanza tendo lenyewe
2.Tafuteni special jelly kwa ajili ya kupunguza msuguano wakat wa tendo
3.Nendeni pa1 mkamwone daktari ili aweze kuwapa ushauri zaidi
 
mimi sipati mpaka mwezi au miezi bila ya sababu tena eti nilazimishe yeye anasema hana hamu ya tendo siku hizi sasa nalala banda la uani
 
Wewe hujui kumuandaa mkeo bwana acha kutuletea habari za kuwa na kiungo kikubwa. Nenda kajifunze kumuandaa mkeo acha story bana

Mpwa jibu hilo hapendi hatakiiiii!!!!!!??????

au anataka apewe practical ya kumwandaaaa mke wake jamani????

Duhhhh

 
Sasa jamani nifanyeje na mimi bado nampenda mke wangu na ninahitaji kula tunda?

Ningependa kuamini hili ni tatizo genuine na si la kutunga. Mengi yameshasemwa na wachangiaji waliotangulia. Kwamba unahisi maumbile yako ni makubwa hilo siwezi kulisemea (labda kama ungetoa actual size!).

Kuna tatizo linaitwa 'Vaginismus' inawezekana huyo mkeo analo au huwa analipata unapotaka kufanya nae tendo la ndoa. Soma zaidi hapa chini (naamini kidhungu sio tatizo kwako!?)

Vaginismus is a condition where there is involuntary tightness of the vagina during attempted intercourse. The tightness is actually caused by involuntary contractions of the pelvic floor muscles surrounding the vagina. The woman does not directly control or 'will' the tightness to occur; it is an involuntary pelvic response. She may not even have any awareness that the muscle response is causing the tightness or penetration problem.

In some cases vaginismus tightness may begin to cause burning, pain, or stinging during intercourse. In other cases, penetration may be difficult or completely impossible. Vaginismus is the main cause of unconsummated relationships. The tightness can be so restrictive that the opening to the vagina is 'closed off' altogether and the man is unable to insert his penis. The pain of vaginismus ends when the sexual attempt stops, and usually intercourse must be halted due to pain or discomfort.

When a woman has never at any time been able to have pain-free intercourse due to this muscle spasm her condition is known as primary vaginismus. Some women with primary vaginismus are unable to wear tampons and/or complete pelvic exams. Many couples are unable to consummate their relationship due to primary vaginismus.

Vaginismus can also develop later in life, even after many years of pleasurable intercourse. This type of condition, known as secondary vaginismus, is usually precipitated by a medical condition, traumatic event, childbirth, surgery, or life-change (menopause).

Vaginismus is highly treatable and a full recovery from vaginismus is the normal outcome of treatment. Successful vaginismus treatment does not require drugs, surgery, hypnosis, nor any other complex invasive technique. Following a straight-forward program, pain-free and pleasurable intercourse is attainable for most couples.

Kama walivyokushauri wengine, nenda kawaone madaktari watakusaidia na mtaendelea kufaidi ndoa yenu bila maumivu kwa mkeo.
 
IMPORTANT: muende hospital mkapime. hata kama una kiungo kikubwa kiasi gani, kiungo cha mwanamke kimeumbwa kutanuka vya kutosha kustahimili ukubwa huo. kuna mara moja niliwahi kupata damu after sex nikaenda kwa dr akaniambia kwa kuwa sio recurrent sio mbaya ila kama inatokea mara kwa mara ni dalili za kansa. mpeleke mkeo kupima. ulishawahi kuwa na wanawake wengine. kwani wote walitoka damu kwa sababu ya maumbile yako?
 
kitalolo hebu jaribu kukijua kifaa ulichopewa jinsi ya kukitumia
hebu jaribu kumuuliza wife ni vip anakuwa confotable wakati wa mahaba
na swala la kumtoa damu nenda Hosp mkapate ushauri wa daktari
inawezekana una chuma cha reli

kutokwa na damu wakati wa tendo sio chuma cha reli, kama mama ana maambukizi a.k.a infections issues kama hizo hutokea, so nendeni kwa tabibu atawasaidia...
 
Ulipojadiliana na mkeo mara ya mwisho milipata suluhisho gani..usiniambie hujawahi kuongea nae kuhusu hili ila brake ya kwanza umekimbilia huku, kwa sababu nitakuita mpumbavu
 
Mkuu kama ni swala la size fanya majaribio kama ifuatavyo :- Nenda pale Afrika Sana, jichukulie mdada poa mmoja, mshughulikie uone kama atatokwa na damu, then utajua umejaliwa mtwangio mkubwa!!
 
Jamani msimsakame mtoa mada ni kweli kuna baadhi ya watu wanamaumbile makubwa kiasi wewe mwanamke anakufanya ufikirie mara mbili mbili kusex nae mimi ilishanitokea hiyo ikabidi nimwache huyo kaka japo sikutaka kumwambia sababu. Watu wanatoa mifano ya watoto kumbukeni wakati wa kujifungua na mikasi huwa inatumika ili kuongeza njia.
 
Acha sifa za kijinga. Hilo dushe lako unaliona kubwa sana ee. We sema kuna kamchezo ka kujifanya unakosea njia ndio maana mkeo hapendi. Mbona wengine wana miwa na ndoa zao safi.
 
Acha sifa za kijinga. Hilo dushe lako unaliona kubwa sana ee. We sema kuna kamchezo ka kujifanya unakosea njia ndio maana mkeo hapendi. Mbona wengine wana miwa na ndoa zao safi.

Huyu mleta mada anatafuta umaarufuu...
2009_2015 bado anatafuta misifa
 
Acha uzushi huyo mkeo umeonja hiyo papuchi yake baada ya kuoa...basi inawezekana huna maandalizi mazuri kabla ya kungonoka au kama kazi huiwezi subiri apate mafundi nje tena wazama chumvini wamuonesha kama atairudisha hiyo papuchi kwako
 
Wanajamii naombeni ushauri,

Kwanza najua kabisa kwamba mke wangu sio mpenzi wa tendo la ndoa kama mimi. Mara nyingi nimekuwa mimi ndio mwanzilishi wa kuomba kwamba nahitaji au vinginevyo imefikia mahali naona kama namlazimisha na anafanya kama vile ni lazima.

Pili naona kama maungo yangu yanamzidi uwezo yaani nimekuwa nikifanya kwa utaratibu bila kufanya stailli mbalimbali ili nisimuumize lakini inavyoonekana ni kwamba anapata maumivu sana nikimuuliza huwa anaogopa kusema lakini pia amekuwa akitokwa na damu mwakati wa tendo la ndoa, hivyo naona kuwa labda pengine ni kutokana na kiungo kikubwa Mungu alichonijaalia.

Sasa jamani nifanyeje na mimi bado nampenda mke wangu na ninahitaji kula tunda?

Acha uzushi huyo mkeo umeonja hiyo papuchi yake baada ya kuoa...basi inawezekana huna maandalizi mazuri kabla ya kungonoka au kama kazi huiwezi subiri apate mafundi nje tena wazama chumvini wamuonesha kama atairudisha hiyo papuchi kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom