Mke wangu hataki iphone

Mke wangu hataki iphone

Yaani iphone ya mio plus, kweli we bogazi kama ni kweli mkeo kaona huna forecasting ya mpunga wako,


Afu iphone sio simu Kali we nawe sijui wa njia panda ya Tinde kama Mimi
 
Mkeo anaakili kukuzidi wew! Kihalisia iphone 12/13 ni kama google pixel 4xl (haswa kwa nyie mnaonunua bland tu na hamna matumizi maalimu)
.
Kwaiyo fanya kama alivyokwambia amekusaidia sana
 
Hataki kutoa jicho moja ili apewe macho matatu?
 
Habari wakuu
Nilijichanganya kumwambia wife kwamba nataka kumnunulia iphone 12 pro ebhana ehee amekataa anasema hio hela Bora tuingize kwenye biashara anataka simu isiyozidi 300,000/=

Naombeni ushauri wenu wakuuu.
Msinione bogazi wife wangu nampenda sana nilitaka nimpe zawadi ya simu kali sasa yeye hataki.
Shule mnafungua lini?
 
Back
Top Bottom