Mke wangu hataki iphone

Mke wangu hataki iphone

Eliud Bunju

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
375
Reaction score
707
Habari wakuu
Nilijichanganya kumwambia wife kwamba nataka kumnunulia iphone 12 pro ebhana ehee amekataa anasema hio hela Bora tuingize kwenye biashara anataka simu isiyozidi 300,000/=

Naombeni ushauri wenu wakuuu.
Msinione bogazi wife wangu nampenda sana nilitaka nimpe zawadi ya simu kali sasa yeye hataki.
 
Nipe mimi
 
Weka na mchai mchai kidogo

eaa68cfc2296860bc1c9785081816cd9.jpg
 
Habari wakuu
Nilijichanganya kumwambia wife kwamba nataka kumnunulia iphone 12 pro ebhana ehee amekataa anasema hio hela Bora tuingize kwenye biashara anataka simu isiyozidi 300,000/=

Naombeni ushauri wenu wakuuu.
Msinione bogazi wife wangu nampenda sana nilitaka nimpe zawadi ya simu kali sasa yeye hataki.
Hizi mada za kijinga hizi nazo za kushirikisha watu hizi? Inaonekana umezidiwa akili na mkeo!
 
Habari wakuu
Nilijichanganya kumwambia wife kwamba nataka kumnunulia iphone 12 pro ebhana ehee amekataa anasema hio hela Bora tuingize kwenye biashara anataka simu isiyozidi 300,000/=

Naombeni ushauri wenu wakuuu.
Msinione bogazi wife wangu nampenda sana nilitaka nimpe zawadi ya simu kali sasa yeye hataki.
Umeoa Uchaggani au Upareni? Hakuna haja ya simu inayozidi 200,000/- hata kama mna pesa kiasi gani.
 
Kama hataki sisi tumsaidieje au ulitaka Watu wajue kuwa una Pesa na unampenda sana Mke wako?
 
Kama hii sio chai basi wewe ni miongoni mwa mabwege ya kiumeni,hudhuria vikao kenge!
 
Back
Top Bottom