Swts
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,062
- 1,299
Pole mkuu...
Mwanamke kisirani ni tafrani ndani ya nyumba.
Em kaa na wazazi wake mkeo uongee nao then kaa na mkeo,then wazazi wako..af finally mkutane wote mzungumze mtafute na kiongozi wa dini mmoja awashushie maandiko,..tena umpe hata hela maandiko na maneno yote yamlenge mkeo kuwa chanzo maana ndo inavoonekana.
I hope utapata akili.
WARNING: USHAURI WA JF UUCHUJE THEN UCHANGANYE NA WAKWAKO NDO UUTUMIE KWA MAKINI,OTHERWISE UTAPANDWA HASIRA UTAHARIBU MPANGI MZIMA!
GUDLUCK Dude.
Copy Tarime one

Last edited by a moderator: