Mke wangu hapendi ndugu zangu.

Mke wangu hapendi ndugu zangu.

hilo tatizo litakuwa na history yake. mwanzo uliliona dogo, ukalilea mpaka lilipofika. lazima kuna sehemu walipishana (mkeo na nduguzo), na labda kwa kuwa wote hawakuwa na busara kila upande ulijiona una nafasi kwako wewe kuliko mwingine, ndugu wanategemea uwe upande wao na mke anataka uwe upande wake. na wewe kwa kuhofia kuwaudhi wote ukaamua kukaa kimya

ndugu ni zako, na mke ni wako pia. wewe ndiye ulitakiwa usome pande zote 2 na uwaelewe wanachogombania na kuwaweka sawa (bila kupendelea upande wowote). pale ambapo unaona ndugu wanakosea, usiogope kuwaambia ukweli. wakikwambia mkeo yupo hivi na vile, waambie yule ni mke wangu nitakwenda kumuweka sawa mwenyewe.
mkeo naye mpe facts zake. kaa ongea naye, mwambie hana sababu yoyote ya kushindana na ndugu maana yeye ndio ubavu wako. lakini na wewe play part yako kama mume/ baba wa familia.

mi kwanza nashangaa, ilikuwaje mpaka ndugu wa pande zote 2 mkawagombanisha na wao. kila mtu alikuwa anaenda kushtaki kwa wazazi wake? sometimes ni ukweli mgumu kuumeza kwamba ndugu/ wazazi nao wanakosaga busara.

kumuacha mke uliyekaa naye miaka zaidi ya 10 won't make life better. hao wanaokwambia uache mke ikifika jioni wao wanaingia chumbani na wake zao kulala, wewe utabaki unang'aa macho (sijui utamuita mama/ kaka/ dada mpige story wakati wa kulala). na hao wanaosema wanawake ni wengi utaoa mwingine, what if kama ndugu zako na wewe mna tatizo kweli, nayeye si yatamshinda? utaoa wa tatu

umeongea kweli, mimi ninaishi na ndugu za mume wangu hadi leo, na miaka yote nimekuwa nikiishi nao, wengine ni wazuri hawana shida wengine wakorofi kidogo ila tunaishi vizuri,.. sasa kuna mdogo wa mume wangu mmoja alikuwa mjeuri sijawahi ona, hana adabu hana heshima, kiburi mwanzo mwisho...nilishi nae kwa miaka kama 8 ivi kuanzia yupo sekondari hadi alipomaiza chuo akapanga na kuondoka kwenda kwake...sikumtilia kinyongo, nilimfanyia bonge la graduation, nikamnunulia mazawadi n.k hakuamini..

baada ya kukaa kwake alikopanga baadae sana akanitafuta kwa maongezi maalumu, akaniambia shemeji naomba msamaha, nilikufanyia mambo ya ajabu sana wakati ule nakaa kwako, sijui ni shetani au utoto..akaniambia dhamira yake inamsuta sana na ili awe na amani ameamua kuja kuniomba msamaha...nikamwambia mimi nilishakusamehe zamani,..na mpaka leo ni rafiki yangu wa karibu kuliko hata ndugu wengine wa mume wangu...

kwa hiyo inawezekana kabisa mke wa huyu kaka akawa hana damu ya kupendwa na wakwe, lakini yeye hatakiwi kuwaonyesha wazi kuwa kuna tofauti, awasalimie, awape vizawadi, zile hasira zitaisha tu..sio lazima wawe mabest lkn ule uelwano wa kawaida unatosha kabisa
 
Wewe utakuwa miongoni mwa wake bora sana!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hapo nakupa like...kwa sababu ugomvi lazima uwe pande mbili...ukishindwa kupotezea mambo madogo (hata makubwa) basi ndio unafanya mambo yanakuwa kama mleta mada...hakuna silaha kubwa kama ku ignore...

umeongea kweli, mimi ninaishi na ndugu za mume wangu hadi leo, na miaka yote nimekuwa nikiishi nao, wengine ni wazuri hawana shida wengine wakorofi kidogo ila tunaishi vizuri,.. sasa kuna mdogo wa mume wangu mmoja alikuwa mjeuri sijawahi ona, hana adabu hana heshima, kiburi mwanzo mwisho...nilishi nae kwa miaka kama 8 ivi kuanzia yupo sekondari hadi alipomaiza chuo akapanga na kuondoka kwenda kwake...sikumtilia kinyongo, nilimfanyia bonge la graduation, nikamnunulia mazawadi n.k hakuamini..

baada ya kukaa kwake alikopanga baadae sana akanitafuta kwa maongezi maalumu, akaniambia shemeji naomba msamaha, nilikufanyia mambo ya ajabu sana wakati ule nakaa kwako, sijui ni shetani au utoto..akaniambia dhamira yake inamsuta sana na ili awe na amani ameamua kuja kuniomba msamaha...nikamwambia mimi nilishakusamehe zamani,..na mpaka leo ni rafiki yangu wa karibu kuliko hata ndugu wengine wa mume wangu...

kwa hiyo inawezekana kabisa mke wa huyu kaka akawa hana damu ya kupendwa na wakwe, lakini yeye hatakiwi kuwaonyesha wazi kuwa kuna tofauti, awasalimie, awape vizawadi, zile hasira zitaisha tu..sio lazima wawe mabest lkn ule uelwano wa kawaida unatosha kabisa
 
Mmmmm hata wewe Shemeji??? Yule Dada yetu mrembo wa JF kakuboa nini?? Si ulisemaga umeweka treaty ya kutuheshimu wadada kwa sababu yake lol??
Nimesikitika kama kakubwaga shemeji yetu!

Sisi tuko sawa shemeji wala usiwe na shaka tatizo ni huyo ndugu aliyeumizwa!!!!!!!!!!!!!!!!
 
aiseeeeh!!!!!
hapo kuna matatizo pande zote , jichumguze urekebishe madhaifu yako..........

ila hata kama wazazi wamekosea vipi kuwadharau ni ukosefu wa maadili kabisa,,,,,,,,,,,

hata mwanaume usipoheshimu wazazi wa mke ni laana kubwa.
 
Jamani wana JF naomba ushauri wenu,niko ndani ya ndoa zaidi ya miaka kumi tuna watoto 3,kinachofanya niombe ushauri ni kwamba baada ya kufunga ndoa ndani ya mwaka 1 familia yangu ilianza kuwa na migogoro isiyoisha,tatizo mke wangu hapendi ndugu zangu hasa wazazi wangu,imefikia ndugu wa pande zote mbili wazazi wa mke na wazazi wangu hawasalimiani,kisa anadai mie nafanyiwa maamuzi na wazazi wangu,imefikia mahala sasa hataki kuwasalimia hata wazazi wangu,nifanyeje?
Umewahi kufikiria kumpa talaka/kumwacha? Kuna vitu/mambo mengine mkeo yupo vizuri ukiacha hayo ya kutowapenda nduguzo?
 
Enyi ke na me wenye tabia ya kunyanyasa ndugu me/ke muwe na haruma jamani, mjaribu kufikiria kuwa hao ndio walio mlea huyo mme au mke ulienae hadi ukamuona na kumpenda wasingemlea ungempata wapi muwe na haruma wengine wamelea watoto wao kwa shida mno ati wanahitaji wafaidi matunda sasa hiyo tabia ya kuwaona takataka wazazi wa wenzenu jamani muiache, wazazi wengi husononeka sana. naichukia sana tabia mtu atakaeninyanyasia wazazi wangu jinsi walivyonilea kwa tabu nahic nitammeza mzima mzima
 
Lazima Ana sababu zake maana ndugu wa mume wengi wana tabia ya kuingilia ndoa. Mama mkwe wangu alikuwa akija kututembelea akiondoka tu tunaanza kugombana gombana, nikaja kugundua alikuwa anataka mwanae aniache jamaa akawa anashindwa. Sasa hapo utategemea niwapende wakwe? Ila baadaye nilimkalisha kikao mama mkwe na troops yao nikawapa vi-piece vyao na mwanao nikawaachia, sasa hivi anahaha maana huyo waliyetaka amuoe ni mistress wa waziri fulani safari haziishi, drama kila kukicha. So wakwe na mawifi kaa nao mkao wa kama unataka kusimama
 
hilo tatizo litakuwa na history yake. mwanzo uliliona dogo, ukalilea mpaka lilipofika. lazima kuna sehemu walipishana (mkeo na nduguzo), na labda kwa kuwa wote hawakuwa na busara kila upande ulijiona una nafasi kwako wewe kuliko mwingine, ndugu wanategemea uwe upande wao na mke anataka uwe upande wake. na wewe kwa kuhofia kuwaudhi wote ukaamua kukaa kimya

ndugu ni zako, na mke ni wako pia. wewe ndiye ulitakiwa usome pande zote 2 na uwaelewe wanachogombania na kuwaweka sawa (bila kupendelea upande wowote). pale ambapo unaona ndugu wanakosea, usiogope kuwaambia ukweli. wakikwambia mkeo yupo hivi na vile, waambie yule ni mke wangu nitakwenda kumuweka sawa mwenyewe.
mkeo naye mpe facts zake. kaa ongea naye, mwambie hana sababu yoyote ya kushindana na ndugu maana yeye ndio ubavu wako. lakini na wewe play part yako kama mume/ baba wa familia.

mi kwanza nashangaa, ilikuwaje mpaka ndugu wa pande zote 2 mkawagombanisha na wao. kila mtu alikuwa anaenda kushtaki kwa wazazi wake? sometimes ni ukweli mgumu kuumeza kwamba ndugu/ wazazi nao wanakosaga busara.

kumuacha mke uliyekaa naye miaka zaidi ya 10 won't make life better. hao wanaokwambia uache mke ikifika jioni wao wanaingia chumbani na wake zao kulala, wewe utabaki unang'aa macho (sijui utamuita mama/ kaka/ dada mpige story wakati wa kulala). na hao wanaosema wanawake ni wengi utaoa mwingine, what if kama ndugu zako na wewe mna tatizo kweli, nayeye si yatamshinda? utaoa wa tatu

yaani nivile sioni sehemu ya like bcz ntumia kimeo changu lakini kama huyu kaka anasoma ushauri huu ndio ushauri full stop umempa fact kabisaaaaa yani nimependa mno ushauri wako
 
Jamani wana JF naomba ushauri wenu,niko ndani ya ndoa zaidi ya miaka kumi tuna watoto 3,kinachofanya niombe ushauri ni kwamba baada ya kufunga ndoa ndani ya mwaka 1 familia yangu ilianza kuwa na migogoro isiyoisha,tatizo mke wangu hapendi ndugu zangu hasa wazazi wangu,imefikia ndugu wa pande zote mbili wazazi wa mke na wazazi wangu hawasalimiani,kisa anadai mie nafanyiwa maamuzi na wazazi wangu,imefikia mahala sasa hataki kuwasalimia hata wazazi wangu,nifanyeje?

Pamoja mkuu!!!
 
ha ha ha ha ha! pure arab skunk!?

Gays r us!! Hureeey! Meku! Wayahudi mwaka huu wamevunja record ya wanamme kuoana!
Wamewashinda wabrazil kwa 8%.!!
Teh teh teh teh! I wonder if you join the club!
 
Kaka komemtzako zinatisha...! Ubarikiwe JEMBE
 
Lazima Ana sababu zake maana ndugu wa mume wengi wana tabia ya kuingilia ndoa. Mama mkwe wangu alikuwa akija kututembelea akiondoka tu tunaanza kugombana gombana, nikaja kugundua alikuwa anataka mwanae aniache jamaa akawa anashindwa. Sasa hapo utategemea niwapende wakwe? Ila baadaye nilimkalisha kikao mama mkwe na troops yao nikawapa vi-piece vyao na mwanao nikawaachia, sasa hivi anahaha maana huyo waliyetaka amuoe ni mistress wa waziri fulani safari haziishi, drama kila kukicha. So wakwe na mawifi kaa nao mkao wa kama unataka kusimama

huo ni uthubutu wa hali ya juu, maana wengi tunakerwa na hawa ndugu lakini tunashindwa kuwaacha hao wanaume.
 
Back
Top Bottom