sisame
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 365
- 321
Hapana me sina kiukweli..sema nimetumia..unaweza kuitafuta kwenye pharmacy kubwa kubwa huwezi kukosa..ukikosa brand hiyo ulizia brand zingine zenye matumizi ya ivyo utapata..me nmependekeza iyo sbb nliitumia..ingawa adi leo nilietumia kwake hajui [emoji23][emoji23][/QUOTE
Eeeeehhh watu wanamambo jamani, unaweza ukamng'ang'ania mtu kumbe utamu wa pipi mate yako mwenyewe 🙁