Mke wangu hana hisia za kimapenzi

Mke wangu hana hisia za kimapenzi

Muandae vizuri kisaikolojia kuwa wazi kwake na kama kuna vtu huwa unamuydhi jirekebishe. Pia mpunguzie majukumu ya kazi na kama analea atakua anachoka. Jipeni mda na muwe wazi mnataka nini ili na yeye awe comfortable na yeye ndo atapata hisia
Hisia za mapenzi ni natural... yaani mpaka kuzitafuta au kuandaliwa kosaikolojia. Hiyo ni basic needs ya kila m2.
Kama HANA mpk itafutwe, itakuwa kuna tatizo buana.
 
Na sikitika sana kwa mke wangu kukosa hisia za kimapenzi, hua najiuliza maswali mengi sana ila sipati jibu.

Naomba ushauri nimfanyie nini ili na yeye awe na hisia.
Pole xana
Na sikitika sana kwa mke wangu kukosa hisia za kimapenzi, hua najiuliza maswali mengi sana ila sipati jibu.

Naomba ushauri nimfanyie nini ili na yeye awe na hisia.
 
Na wanaume pia huishiwa homonies

Wanaume ndio huwa inaitwa nguvu za kiume inajumlishwa kwenye kundi moja na ilo tatizo,yan ukiwa na hilo tatizo la kukosa hamu pia ni Upungufu wa nguvu za kiume ..ingawa kwa mwanaume kukosa hamu ya tendo la ndoa ni nadra saana..unaweza ukakosa ila ukikutana na mwanamke hahaha cdhani kama kitu kitashindwa kucmama aisee..
 
Wataalamu zaidi watatueleza kama kupungukiwa nguvu za kiume pia ni Upungufu wa hormones au vp..machache nnayojua ni hayo.
 
Kama kweli unoyo nicheki kwa hii no 0762818535

Hapana me sina kiukweli..sema nimetumia..unaweza kuitafuta kwenye pharmacy kubwa kubwa huwezi kukosa..ukikosa brand hiyo ulizia brand zingine zenye matumizi ya ivyo utapata..me nmependekeza iyo sbb nliitumia..ingawa adi leo nilietumia kwake hajui [emoji23][emoji23]
 
We mbayaa.....

Kwa hiyo anajua tu wewe fundi umemshika akapata hisia
 
Na sikitika sana kwa mke wangu kukosa hisia za kimapenzi, hua najiuliza maswali mengi sana ila sipati jibu.

Naomba ushauri nimfanyie nini ili na yeye awe na hisia.
Kuna mtu anamkumbuka, tena alikuwa anamkubali mbaya.
Sasa cha kufanya wew tafuta mchepuko punguza haja zako. Ukifika homu lala tena na suruali kabisa.
Hiyo hali itamtesa then ataanza kujenga wivu dhidi yako kwa kuhisi anaibiwa.
So kuepusha hiyo hali ataanza kutoa papuchi mwenyewe tena kwa ushirikiano mkubwa.
Ukwel ni mchungu, ila acha ubak kuwa ukwel and no way out.
 
pole dia jiangalie kasoro zako mybe hazipendagi dat y hisia zk haziji
 
HIYO GERMANY SEX DROPS NI NOMA HATA KAMA KIGOMA KINAKUCHOMOLEA WE MPE OFA THEN AKIWA HAJUI MUWEKEE HATA DROPS 10 KWA KINYWAJI. UONE KAMA HAJAKUPA MWENYEWE
 
Kuna mtu anamkumbuka, tena alikuwa anamkubali mbaya.
Sasa cha kufanya wew tafuta mchepuko punguza haja zako. Ukifika homu lala tena na suruali kabisa.
Hiyo hali itamtesa then ataanza kujenga wivu dhidi yako kwa kuhisi anaibiwa.
So kuepusha hiyo hali ataanza kutoa papuchi mwenyewe tena kwa ushirikiano mkubwa.
Ukwel ni mchungu, ila acha ubak kuwa ukwel and no way out.
Hahahahahahaha umenifurahisha sana [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wakati unampa hio Germany sex ? Mwanaume naye anywe nn?
 
We mbayaa.....

Kwa hiyo anajua tu wewe fundi umemshika akapata hisia

Hamna io anatumia yyote tu..ata dem wako ckuio ukiona unataka akupe adi uikeshee unampa tu hata kama hana tatizo lolote..we kwan unavyobwia mako nyag ili umkomoe mchepuko wako unakuaga naupungufu wa nguvu za kiume..
 
Wakati unampa hio Germany sex ? Mwanaume naye anywe nn?

Mwanaume kama unajijua hauna uwezo wa kumridhisha mkeo endapo utampa io jipigilie juice ya tende mapemaa kabla ya game,maana utajipa lawama..
 
Back
Top Bottom