Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,022
Yawezekana mkuu ulipenda muonekano au kitu flani kwa binti na ukajifariji tu.
Shake well b4 use inafanya kazi vzr tu.
Wengi wao ni dryness ndio chanzo.
Hivyo huumia kwa ndani (huchubuka) wakati wa Sex na hivyo kuhofia kufanya tendo.
Pia yupo asiye kuwa na hisia nawe (hakupendi). Hivyo hasisimki kuwa na we.
Pia kuna natural dryness. Nadhani hawa wana uwezekano wa kuwa hata wagumba! Make ni full dry balaaa. Hata Uguse wapi ni zero.
Nadhani tafiti chanzo kwanza cha tatizo.
Kama ni maumivu wakati wa Sex tumia mafuta ili umridhishe (Hapa Mashoga washatibua dili).
Kama hakupendi (chunguza kwanza) muweke sawa au mpatanishwe. Ili uwe una enjoy zigo.