Yeah_suali la msingi sana hili,..maake kuna makabila mengine hawaridhiki mkuu...wengi tu wahanga wa hilikabila gani king'amuzi mkubwa huyo???
mnachokisema ni kweli ila wazazi wangu wanamtetea sana..hata sijui hawewapa nini?
Mara nyigine wazazi umri ukiwaenda sana wanakuwa kama watoto-wanashindwa kusoma michezo mingine-au yeye anawahandle vyema kwa kuwa anajua ndo wapo karibu naye ili kukupa support yao pindi atakapokuwa anaihitajimnachokisema ni kweli ila wazazi wangu wanamtetea sana..hata sijui hawewapa nini?