Mke wangu anazidi kuwa kibonge

Hivi mkuu uliwahi kupita jandoni(samahani lkn) na kupata mafunzo??Mbona unakuja hapa kumdhalilisha mkeo bure namna hii?Jaribu kuwa msiri wa mwenzako na uache hii tabia kuanzia leo
 
Hivi mkuu uliwahi kupita jandoni(samahani lkn) na kupata mafunzo??Mbona unakuja hapa kumzalilisha mkeo bure namna hii?Jaribu kuwa msiri wa mwenzako na uache hii tabia kuanzia leo
sijamtaja jina hii ni sehemu ya faragha, naongea nitakavyo wala sikuwapa picha yake au jina au kuwaambia ni nani.
 
Hivi mkuu uliwahi kupita jandoni(samahani lkn) na kupata mafunzo??Mbona unakuja hapa kumzalilisha mkeo bure namna hii?Jaribu kuwa msiri wa mwenzako na uache hii tabia kuanzia leo
Sa Hivi Nani Ana Muda Na Jandoni kwanza?
 
asa mara mke bonge inye inarefuka,mara hutaki mke mchafu,mara hutaki afanye mazoezi.embu do this,wakati unahamia huko kwenye chumba fanya kunitambulisha alafu hama japo kwa week mbili tu alaf rudi kuchunglia
 
Sa Hivi Nani Ana Muda Na Jandoni kwanza?
Basi hayo ndio madhara yakutopita jandoni,haiwezekani kutoa siri za mwenza wako humu kila mtu akajua hata kama tunatumia IDs fake.Hii sio sifa ya mwanaume rijali,me hata kama nitakuwa nimetupia KITWANGA zangu siwezi kufanya huu ujinga.
 
sijamtaja jina hii ni sehemu ya faragha, naongea nitakavyo wala sikuwapa picha yake au jina au kuwaambia ni nani.
Sawa tunatumia IDs fake lakini sio fresh kusema hayo mambo ya chumbani humu,Jitahidi kumvumilia huku ukimpa nafasi ya kujirekebisha.
 
Ivi pata. Picha mkeo yuko humu na anajua id yako atajisikiaje?mbona huna uyu huyo ni mkeo mnaejuana mkiwa na nguo na uchi umeshindwa kuongea nae . ni hali ya muda inayohitaji ushiriano wako.by da way wewe c mwanaume wa kweli.
 
Hivi mkuu uliwahi kupita jandoni(samahani lkn) na kupata mafunzo??Mbona unakuja hapa kumzalilisha mkeo bure namna hii?Jaribu kuwa msiri wa mwenzako na uache hii tabia kuanzia leo
ndo wanaochezwa mwananyamala
hawana adabu
wangechezwa jandoni porini bila ganzi adabu wangekua nazo[emoji30]!
 
Embu soma uliyoandika na ujijibu mwenyewe kwa kujichanganya, mume kama wewe hufai kabisa sababu moja ni hujitambui... duh!!!!!!
 
Punguza kumpatia virutubisho aina ya protein wakati wa 6x6. Tumia kinga
 
mkalishe naumwambie ukweli jinsi unavyojiskia kuhusu tabia yake. Ndoa inahitaji ukweli tena mchungu lazima umwambie ili mfikie sehemu ya kukubaliana nini kifanyike. Alafu kama ni wewe unaye nunua chakula nyumbani acha kununua mikate na soda na keki na mengine ambayo yana tumia sukari na mafuta. Nunua matunda na mboga na maji. alazimike kula vizuri kama hataenda gym na anywe maji mengi baada ya kila mlo ili metabolism yake ichangamke.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…