Mke wangu anazidi kuwa kibonge

Mke wangu anazidi kuwa kibonge

hivi siku hizi hakuna siri za familia eeh...mambo kama hayo ni yako ya ndan kaa na mwenzio mshaur afanye mazoez kwa hekima. ila naona umeoa ukiwa bado hujafika umri wew
sijamtaja jina hata ID yangu si feki sasa shida iko wapi, siwezi kumdhalilisha mwandani wangu
 
we nipe mimi kama mimi
Sasa umekuja jamvin. Kama uliweza kuanika siri za mkeo kwanini usiwe mpole na kuwaacha watu wakusaidie kumshauri inaonekana amekushinda. Mimi ushauri wangu ningeonana nae face 2 face. Ujue ukioa lazima uwe gentlemen otherwise utakuwa na migogoro isiyokwisha kwenye ndoa yako. mwisho inbox namba ya Wifiiii
 
Ulivyoapa wakati wa ndoa kwa shida na raha ulidhani shida ndio zipi? Kitu kidogo tu hicho unakuja kulalamika mitandaoni. I feel pity to your wife..
 
Basi hayo ndio madhara yakutopita jandoni,haiwezekani kutoa siri za mwenza wako humu kila mtu akajua hata kama tunatumia IDs fake.Hii sio sifa ya mwanaume rijali,me hata kama nitakuwa nimetupia KITWANGA zangu siwezi kufanya huu ujinga.
You are a man japokuwa sijui wewe ni ke au me aisee. Big up. ID zetu feki zisiondoe ubinadamu wetu. Nimejifunza katika maisha kutoropoka kuhusu mambo ya siri ya watu wangu wa karibu si baba si mama si kaka wala dada si mpenzi, maana baadae aibu inakurudia wewe.
Sikiliza mkuu mapenzi ni mfumo. Na hizi ni tabia za mifumo:
1. Ukitoa taarifa nyeti za mfumo wowote duniani, mfumo huo uko hatarini kuharibika. Ndio maana watu wa maana huwa hawaropoki madhaifu au mazuri ya wake zao au waume zao, maana wanajua wakiropoka watu fulani wakajua tayari hiyo ni nafasi ya mfumo wao kuharibiwa na michepuko.
2. Mfumo wowote hua unalenga kuwa na mlingano. Ndio maana unapokuwa wewe dhaifu mkeo au mpenzio anasimama badala yako na wewe pia hivyo hivyo mnatakiwa mbalance aisee.
3. Hizo zinakutosha kwa leo....
 
nashukuru sitatoa tena siri kwa usalama wangu
 
Mimi ni me(man)
Umeongea sahihi mkuu,licha ya kutumia hizi IDs fake tulizonazo si busara hata kidogo kumwaga siri za mwenza wako humu hata kama mtakuwa mmeachana kwa mabaya.
 
sijamwaga siri mkuu mimi nataka kupata maujanja
 
yaani wewe unatakiwa ufungwe jiwe la kusagia utupwe baharini.....nahisi una govi....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom