Mke wangu anazidi kuwa kibonge

Mke wangu anazidi kuwa kibonge

Nani alimmfanya kuwa kibonge kama si wewe? Aliyemmzalisha nani? Na kwa nini huongei na mkeo kuhusu kufanya mazoezi kwa pamoja ili asihisi umemmkinai . Dharau hiyo na hufai kuitwa mume
 
sijamtaja jina hii ni sehemu ya faragha, naongea nitakavyo wala sikuwapa picha yake au jina au kuwaambia ni nani.
Kwahiyo mkeo akijamba unaleta hapa jukwaani?Wewe vituko vyako na yeye avilete humu?tuache tabia ya kuwasema waje zetu humu kama kuna kitu hukipendi ongea nae
 
Wakati mwingine anzisha hata tatizo lililopo mtaani kwako huenda wahusika wakasikia na kulifanyia kazi ikawa umeisaidia jamii kuliko kuongopa na kuandika ujinga kama huu ambao hauna faida yoyote sio kwako tu bali hata kwetu. Unasumbuliwa na utoto.
 
Hivi mkuu uliwahi kupita jandoni(samahani lkn) na kupata mafunzo??Mbona unakuja hapa kumzalilisha mkeo bure namna hii?Jaribu kuwa msiri wa mwenzako na uache hii tabia kuanzia leo
Kwani ushamjua huyo mkewe?
 
we huji kuwa kujamba ni sunna,ulitaka apumulie masikio,ukioa kubali kujambiwa kwenye shuka na mengine zaidi yahayo
 
Inaelekea unapenda kupiga msaada kweny tuta ndomana hutaki mkia mrefu utakaokuzuia.

Suala la kutokufua chupi ni tatizo maana mfereji maringo unahitaji usafi sana na akizembea atapata magonjwa yasababishwao na bakteria na kukuambukiza pia.
 
Za leo ndugu,

Nilikuwa na mke wangu tuu sio mwembamba sana ila wa kawaida, nilifanikiwa kumpa ujauzito sasa katika matunzo anayopata kwa wazazi wangu naona anazidi kufutuka tuu na makalio yanazidi kukua tuu na mimi sipendi makalio makubwa kabisa yaani napata shida sana,halafu amekua mvivu hata hatembei mita 30 bila kukaa.

Anajamba hovyo halafu hafui hata chupi zake, yani fulu matatizo na mtoto anakojoa tena yani sitaki kuishi nae, tena nakaa chumba changu peke yangu niwe msafi, kweli kidume siwezi inama wakati sketi ipo ndani na ina zaidi ya miezi sita, kule maeneo kushapona kabisa wala hamna maumivu yoyote kwa kweli sitaki vibonge.

Nipeni ushauri ndugu nimfanyeje kama ni kumpunguzia chakula hataki, anakula sana na siwezi kumwacha akafanye mazoezi wale wajanja wa kuchangamkia fursa wasije kufanya yao mwee sitaki mke wangu mrembo sana.
mvumilie ni mkeo nakuzàa ni maisha mengine subiri amalize kunyonyesh then unaongea nae kwa upole anaanza diet na mazoezi
 
Acha upuuuuzi na kumdhalilisha mkeo wewe kianaume wewe maneno gani hayo!
 
Wewe dogo noma yaani umeamua kumdhalilisha mkeo hivyo,mie nadhani utakuwa utakuwa umepata mchepuko ndo maana mkeo umeanza kumponda.
 
Yan una 6months hujamkuna mkeo? Hii ndoa iko kwenye matatizo makubwa. By the way mwambie ajicontrol misosi na afanye mazoezi ya wastan. Over time atapungua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom