Nenda Facebook,huku tupo wenywe magreat thinkers. Unapoleta mada ambazo hazina mbele wala nyuma. Halafu stori yenyewe inaonekana magumashi na ya kutunga tu. Kama unaona mchafu mfulie nguo au mtafutie House boy. Akikushinda niinbox na nipe namba yake nijue namsaidiaje ikibidi ahamie kwangu. Kwani nna nyumba kubwa na Niko msela.Za leo ndugu,
Nilikuwa na mke wangu tuu sio mwembamba sana ila wa kawaida, nilifanikiwa kumpa ujauzito sasa katika matunzo anayopata kwa wazazi wangu naona anazidi kufutuka tuu na makalio yanazidi kukua tuu na mimi sipendi makalio makubwa kabisa yaani napata shida sana,halafu amekua mvivu hata hatembei mita 30 bila kukaa.
Anajamba hovyo halafu hafui hata chupi zake, yani fulu matatizo na mtoto anakojoa tena yani sitaki kuishi nae, tena nakaa chumba changu peke yangu niwe msafi, kweli kidume siwezi inama wakati sketi ipo ndani na ina zaidi ya miezi sita, kule maeneo kushapona kabisa wala hamna maumivu yoyote kwa kweli sitaki vibonge.
Nipeni ushauri ndugu nimfanyeje kama ni kumpunguzia chakula hataki, anakula sana na siwezi kumwacha akafanye mazoezi wale wajanja wa kuchangamkia fursa wasije kufanya yao mwee sitaki mke wangu mrembo sana.
Aliangalia sura kama kweli. Na hayo ndo matokeo yake. mwanamke sio sura. Huo pia ni udhalilishaji kwa wanawake. Mwambie anipe namba ya mkewe nimfanyie Snipering ili awe msafi. Pia afahamu mwanamke kumuoa ni kusaidiana.Hivi mkuu uliwahi kupita jandoni(samahani lkn) na kupata mafunzo??Mbona unakuja hapa kumzalilisha mkeo bure namna hii?Jaribu kuwa msiri wa mwenzako na uache hii tabia kuanzia leo
Hizo wenzako wanasema neema za Allah, wewe hupendi?Za leo ndugu,
Nilikuwa na mke wangu tuu sio mwembamba sana ila wa kawaida, nilifanikiwa kumpa ujauzito sasa katika matunzo anayopata kwa wazazi wangu naona anazidi kufutuka tuu na makalio yanazidi kukua tuu na mimi sipendi makalio makubwa kabisa yaani napata shida sana,halafu amekua mvivu hata hatembei mita 30 bila kukaa.
Anajamba hovyo halafu hafui hata chupi zake, yani fulu matatizo na mtoto anakojoa tena yani sitaki kuishi nae, tena nakaa chumba changu peke yangu niwe msafi, kweli kidume siwezi inama wakati sketi ipo ndani na ina zaidi ya miezi sita, kule maeneo kushapona kabisa wala hamna maumivu yoyote kwa kweli sitaki vibonge.
Nipeni ushauri ndugu nimfanyeje kama ni kumpunguzia chakula hataki, anakula sana na siwezi kumwacha akafanye mazoezi wale wajanja wa kuchangamkia fursa wasije kufanya yao mwee sitaki mke wangu mrembo sana.
Hawa vijana wana matatizo sana. Tatizo tunakutana barabarani Siku 2 ndoa. Hakuna mafunzo ya ndoa . Vile vile jamaa ajitaidi kumsaidia mkewe nae anachoka..Wewe dogo noma yaani umeamua kumdhalilisha mkeo hivyo,mie nadhani utakuwa utakuwa umepata mchepuko ndo maana mkeo umeanza kumponda.
[povu la nini sasa wewe embu niache bana nataka ushauri hapa namna ya kumpeti petiMpuuzi kweli wewe,ulipompa mimba ulijua atazaa korosho?anavyokula kutengeneza maziwa yakulisha kitoto chako unafikiri vinaenda wapi?katukane wazazi wako kwa kumlisha sana huna adabu wewe,unamfurahia mtoto ulijua anatoka peponi ?mxiuuuuu
kwa nini umesema ivo mkuuNadhani ulikuwa na jambo ila umeshindwa kulifafanua vema
atleast una akili mkuu wangu naomba unipe maarifa kwa hali kama hiziHawa vijana wana matatizo sana. Tatizo tunakutana barabarani Siku 2 ndoa. Hakuna mafunzo ya ndoa . Vile vile jamaa ajitaidi kumsaidia mkewe nae anachoka..
sitakua na amanin nataka muke yangu aonekane muke ya kawaidaHizo wenzako wanasema neema za Allah, wewe hupendi?
Njoo inbox nikupe maarifa. Ntumie namba ya Wife nimpe councellinfatleast una akili mkuu wangu naomba unipe maarifa kwa hali kama hizi
Za leo ndugu,
Nilikuwa na mke wangu tuu sio mwembamba sana ila wa kawaida, nilifanikiwa kumpa ujauzito sasa katika matunzo anayopata kwa wazazi wangu naona anazidi kufutuka tuu na makalio yanazidi kukua tuu na mimi sipendi makalio makubwa kabisa yaani napata shida sana,halafu amekua mvivu hata hatembei mita 30 bila kukaa.
Anajamba hovyo halafu hafui hata chupi zake, yani fulu matatizo na mtoto anakojoa tena yani sitaki kuishi nae, tena nakaa chumba changu peke yangu niwe msafi, kweli kidume siwezi inama wakati sketi ipo ndani na ina zaidi ya miezi sita, kule maeneo kushapona kabisa wala hamna maumivu yoyote kwa kweli sitaki vibonge.
Nipeni ushauri ndugu nimfanyeje kama ni kumpunguzia chakula hataki, anakula sana na siwezi kumwacha akafanye mazoezi wale wajanja wa kuchangamkia fursa wasije kufanya yao mwee sitaki mke wangu mrembo sana.
nashukuru mkuuMimi nilijua ugonjwa wangu ni huo, sitaki mtu mnene na akivua nguo naweza kimbia, nilichofanya sio kungoja anenepe nianze bwabwaja kama wewe... Kabla ya iujifungua nilinunua elefrical belt na nilicontrol anachokula na kulazimisha sana sana kwenda Naye mazoezi, wewe ume jidistance naye, hujamsaidia, sasa wamlaumu, kaa caribu na mke wako mjadiliane kwa upendo namna atakavyopungua
simjui huyoNenda kwa Sheikh Kipozeo akushauri
we nipe mimi kama mimiNjoo inbox nikupe maarifa. Ntumie namba ya Wife nimpe councellinf