Niomi kaka
Member
- Feb 28, 2025
- 66
- 131
habari zenu,,,
naombeni ushauri wenu wataramu wa afya,, yapata mwezi sasa tangu nianze kuishi nae rasimi kama wana ndoa. amekua akitokwa na damu ukeni kila ninapo shiriki nae tendo la ndoa mwanzozi nilidhani itakuwa ameingia period pasipo kujua na nilipo muuliza alidai nayeye anawaza kama mimi lakini chaajabu ilikua niya siku moja ikakata lakini baada ya siku tatu tuka shiriki tena, chaku shangaza ile hali ikajirudia tena nika mwambia itakua anashida twende hospital lakini chaajabu nikama hayuko tayari. hivi shida itakua nini?