Ushauri mzuri!Hakuna mahusiano kati ya matumizi ya kondomu na uke kutoa majimaji...
Peleka mkeo hospitali akacheck
Amesema "..tukatumia kondomu kama kinga kuzuia ujauzito.."Mke wako unatumia kondom? how? why?
kwanini umeoa sasa
Ila asimuamini 100%Kama yeye ndiye katoka nje je?kwanini Unawaza tu kwamba wewe ndiye mwenye uwezo/ujasiri/ujanja wa kuchepuka?
Ni kosa kubwa Mwanaume kusema mke wangu namuamini Sana, Siku utagundua anakupiga kanzu unakufa.
Sisemi mkeo kachepuka Mkuu
Amwamini kwa 20% tu si zaidi!Ila asimuamini 100%
Short and clear
Sasa wewe endelea kubishana huku, mkeo aendelee kutesekaLakini shida mwanzoni haikuwepo