mke wangu anasumbuliwa na lecturer

mke wangu anasumbuliwa na lecturer

Wamama wenyewe wa kileo sana sana nikujiongezea maadui na mapresha tu. Kwani yuko mwanamke pekee yake hapo chuo na kwa nini iwe kwake kama hajawachanganya malekcha hapo chuo. Ongeza na zako.
 
Wabongo hawakubaligi kupoeteza kitu muhimukwa makosa wanayofanya wenyewe tena kwa kutambua kama hivyo...kama utaenda kumshitaki na atachukuliwa hatua itakayopelekea kufukuzwa kazi basi jua hata huyo wife wako atapotea.....we jitoe ufahamu mwambie huyo the so called wife wako hayo maswala ayamalize mwenyewe kama ni kwa kugawa uroda ila tu usijue ili yahishe..
Kwan ni mara ngapi anagongwa nje na akwambii? (Najua ina uma ila kwenye ukweli tunasema) usikute huyo lecturer hajampenda tu
Mwambie ayamalize mwenyewe asilete drama
 
Nipe pesa nikufanyie kazi ya maana ambayo utaikubali na utakuwa ukifulia unavuta mkwanja toka kwa Lecturer.
 
yaani cku hz malecturer tunasingiziwa vingi hasa wadada wadada warembo akifel tu lecturer anataka njia ya kuniomba papuchi,hilo halipo mkeo analala kwenye vimbweta daily hasom na anashnda kwny maclub ucku atafaulia wapi,pia waache kutulegezea macho siye!
 
MPE wewee lecture umemaljze shda kama unamwonea huruma
 
Ampe mzigo.. lecturer atulie ule ni uchawi wa kizungu yy apunguze. Nguo lecturer alizike. Mambo.. yote.. yataenda. Sawa.. yy c anataka maisha na lecturer kayashikilia hakuna namna bila kufanya hivyo
 
Malecturer wa CBE Dsm wanapenda sana ushenzi huu...
 
Tafuta evidence ufikishe ngazi za juu,lakini ni vizuri pia wanaomtokea mkeo wakamega awe anakwambia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom