Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
ampe k yaishe. waswahili wanasema k haina makombo. ikishapigwa maji inarudi kua fresh kama mpya
Ukimwi je?
ampe k yaishe. waswahili wanasema k haina makombo. ikishapigwa maji inarudi kua fresh kama mpya
Vipi kuhusu uwezo wa mkeo class, upo vizuri?
hicho chuo hakina system ya ku-appeal? kama ipo aki-appeal matokeo huwa yanakuja hayo hayo au?
kwa vyuo vingi mwanafunzi akifanya mtihani huwa anasign attendance sheet (anasign in and out), so si rahisi lecturer kuficha matokeo kama mwanafunzi kasign kufanya exam.
mkeo anasoma chuo kipi hicho ambacho mwalimu anaweza kuamua kuficha matokeo ya supp?
naomba ushauri nifanyaje semester iliyopita alimkamata akaanza kumwambia akamuone ofisini wayamalize my wife akakomaa akarudi sup akafanya then matokeo ya sup yalipotoka ya wife wangu hayakutoka it means ikaonekana kama hajafanya sup baada ya kumkomalia akayatoa ,tukashukuru akamaliza mwaka ,semester nyingine ilivyoanza yule lecturer akawa amepewa somo lingine kuwafundisha naona tatizo limekuwa serious ,mitihani ya wife haisahishi anaweka tu marks kwa kukadiria ili wife afeli kwa kweli hali imekuwa mbaya
naomba mnisaidie mawazo nifanyeje maana imekuwa serious problem
usiwe muoga kuna dada alikuwa na ishu kama hii akaenda kumface mkuu wa chuo direct , huyo lecturer kibarua kiliota nyasi baada ya evidence ya message kuonekana. asa unataka huyo lecturer aendelee amalakin na shule ndo itakuwa hatarin. mungu amsaidie.
Ahahahah..mkuu umeongea kiume option no 2 nimeipenda dawa ni kumuwekea tego tu akiingia kwenye laini unabamiza mbaya.NyambafKwa hiyo unaona ni heri aendelee kusumbuliwa namna hiyo? Akichoka na asumbufu akaamua kugawa utamwona msaliti?!! Fanya maamuzi ya kikamanda, TAFUTA USHAHIDI MUPELEKE KORTINI! Sku hizi kuna spy cameras za bei rahisi tu mpaka 50K unapata a tiny camera katika form ya miwani, neclace, saa, pen au kitu kingine, then wife anajipodoa na kujifanya amelegeza msimamo, mazungumzo yote yanakuwa recorded live! Au kama vipi mharibie tu, mwambie wife akubali, wakishakubaliana sehem ya kukutana anakutonya mnaenda kuvamia mnampa kichapo cha mbwa mwizi unakuwa umeambatana na watoto wa mbwa wawili wanamuinamisha huku umafilm tukio zima, from there unakuwa unamblackmail kila unapohisi unahitaji vijisenti, pia wife atasoma kwa raha tupu, ukimtisha kidogo tu anatoa marks za bure! CHANGAMKA WEWE MTOTO WA KIUMENI
hapo kwenye subject ongeza R ili isomeke LECTURER
naomba ushauri nifanyaje semester iliyopita alimkamata akaanza kumwambia akamuone ofisini wayamalize my wife akakomaa akarudi sup akafanya then matokeo ya sup yalipotoka ya wife wangu hayakutoka it means ikaonekana kama hajafanya sup baada ya kumkomalia akayatoa ,tukashukuru akamaliza mwaka ,semester nyingine ilivyoanza yule lecturer akawa amepewa somo lingine kuwafundisha naona tatizo limekuwa serious ,mitihani ya wife haisahishi anaweka tu marks kwa kukadiria ili wife afeli kwa kweli hali imekuwa mbaya
naomba mnisaidie mawazo nifanyeje maana imekuwa serious problem
naomba ushauri nifanyaje semester iliyopita alimkamata akaanza kumwambia akamuone ofisini wayamalize my wife akakomaa akarudi sup akafanya then matokeo ya sup yalipotoka ya wife wangu hayakutoka it means ikaonekana kama hajafanya sup baada ya kumkomalia akayatoa ,tukashukuru akamaliza mwaka ,semester nyingine ilivyoanza yule lecturer akawa amepewa somo lingine kuwafundisha naona tatizo limekuwa serious ,mitihani ya wife haisahishi anaweka tu marks kwa kukadiria ili wife afeli kwa kweli hali imekuwa mbaya
naomba mnisaidie mawazo nifanyeje maana imekuwa serious problem
naomba ushauri nifanyaje semester iliyopita alimkamata akaanza kumwambia akamuone ofisini wayamalize my wife akakomaa akarudi sup akafanya then matokeo ya sup yalipotoka ya wife wangu hayakutoka it means ikaonekana kama hajafanya sup baada ya kumkomalia akayatoa ,tukashukuru akamaliza mwaka ,semester nyingine ilivyoanza yule lecturer akawa amepewa somo lingine kuwafundisha naona tatizo limekuwa serious ,mitihani ya wife haisahishi anaweka tu marks kwa kukadiria ili wife afeli kwa kweli hali imekuwa mbaya
naomba mnisaidie mawazo nifanyeje maana imekuwa serious problem
asee nashukuru nimepata relief kusikia tupo wengi cha msingi na mimi sasa hivi ni kutafuta ushahidi wa kutosha na kisha kumfanyia kitu ,inapain sana kakaMhanga mwenzangu pole...pia na Mimi Nina kesi ya muundo huo pale IAA,Ila wa kwangu hajakamatwa somo,na mine kanionesha text zote na kweli jamaa bado linampigia simu namba ya lecturer inaishia ...47. Cha ajabu ni kuwa ticha kashaambiwa mara nyingi na mwanafunzi wake lakini hasikii, mitihani ya juzi kamrudisha kwenye mtihani...bado tunaangalia itakuwaje na nadhani uyu jamaa itabidi atafutiwe tibA ya kudumu...text na calls tumeziifadhi kwa matumizi ya baadae...NAWASHAURI TU WAALIMU,FUNDISHENI MASOMO LA SIVO TUTAONANA WABAYA....NASUBIRI UYU BINTI SAFELISHWE NDO TUTAELEZANA VIZURI....MITEGO YOTE IKO STANDBY. NARUDIA,POLE MHANGA MWENZANGU.
naomba ushauri nifanyaje semester iliyopita alimkamata akaanza kumwambia akamuone ofisini wayamalize my wife akakomaa akarudi sup akafanya then matokeo ya sup yalipotoka ya wife wangu hayakutoka it means ikaonekana kama hajafanya sup baada ya kumkomalia akayatoa ,tukashukuru akamaliza mwaka ,semester nyingine ilivyoanza yule lecturer akawa amepewa somo lingine kuwafundisha naona tatizo limekuwa serious ,mitihani ya wife haisahishi anaweka tu marks kwa kukadiria ili wife afeli kwa kweli hali imekuwa mbaya
naomba mnisaidie mawazo nifanyeje maana imekuwa serious problem
Weka majina ya huyo "Lecturer" hapa afanyiwe kazi mkuu.
omba Munu huo lecturer awe anachukiwa na wenzake other wise utamharibia zaidi mkeo wanajua kubebana na kuplaya as ateam kwani wengi ndio mchezo wao eithe kwa mabinti kujipeleka wenyewe au kuwashawishi
subiri nitamuweka tu soon ngoja nikusanye evidence za kumshtaki